unawakata stimu ya kuusikilizia mlio mwanana wa melodi wanayohisi hutokea inje siyo waoWapo kama Walevi,Ukiwaambia Unakoroma wanakataa na Kukasirika!
labda Abudulahimani 😁😁😁
[emoji1787][emoji1787]labda Abudulahimani [emoji16][emoji16][emoji16]
Babu Ayubulabda Abudulahimani 😁😁😁
Yaaani ni boboboboh mwanzo mwishoKuna jamaa yeye alikuaga anajua ni jirani anawashaga ka-jenereta usiku kumbe ni yeye anakoroma na anaskia muungurumo kwa mbali
Tuwaanzishie kijiji chaowanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au kuwatikisatikisa ili wasikorome kwao huwa ni sawa na kuwakata stimu tu.
Hahah itakuwa zaidi ya kariakoo umeme ukikatikaTuwaanzishie kijiji chao
🤣Hahah itakuwa zaidi ya kariakoo umeme ukikatika
wanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,
kitendo hiko cha kuamini sauti inatoka kwa jilani huwaburudisha na kuwanogeshea utamu wa usingizi wao kuwa mzito.
Hivyo kuwaamusha au kuwatikisatikisa ili wasikorome kwao huwa ni sawa na kuwakata stimu tu.
FafanuaKukoroma kunavuruga ndoa pia
Kwa hiyo, ulishawahi wakinadiligi gear?? Maana yake na wao pale hujisikiaje..sikiliza nguruwe anavyonusa nusa, mlio wa kubadili gia hufananawanaokoroma kwa sauti usingizini inasadikiwa kwamba hata wao huusikia mlio kwa mbaaali wakiamini kuwa unatoka kwa jilani au sauti ya melodi inayobembeleza,