Wanaokosoa chawa na unafiki wao

Wanaokosoa chawa na unafiki wao

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Mimi ni Mtanzania ninayeuamini Utanzania wangu na kuiamini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005, ibara 08(1) a, b, c, d.

Naiamini ilani ya CCM 2020–2025:
  • Ukurasa wa 01, ibara 04
  • Ukurasa wa 161–168
  • Ukurasa wa 08, ibara 10 na 11
Naiamini Sheria ya Vyama vya Siasa inayotutaka vyama kufuata maandiko yetu kwa ukamilifu wake.

Naiamini ibara 26(1)(2) na ibara 09 a, b, f, na h ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977.

Ukiona wewe ni kiongozi ulipata cheo kinyume na utaratibu ila unavimba kichwa kwa sababu ya machawa.
Yaliyosoma na machawa hiyena hiyena, nakuambia kuwa mpole.

Hapa ulipo, upo kinyume na sheria ila unasaidiwa na michawa miropokaji inayotisha watu kinyume na sheria.

Jitambue ya kwamba wewe ni uzao wa zile familia za kinafiki zilizofukuzwa na Mtume Mohammad SAW msikitini.
Ndiyo maana unaonekana kama vile ni mtu mwema huku ukiwa huna nidhamu wala adabu kwa katiba, ilani, kanuni, miongozo, na taratibu za kimfumo.


Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Back
Top Bottom