Kumekuwa na vifo vingi sana vinavyotokea kuanzia wimbi hili Delta lianze ila wengi wanakufa lakini wachache ndio wanaorushwa katika mitandao ya kijamii , hii ni kutokana na wadhifa wa marehemu mwenyewe mfano marehemu alikuwa nani , alikuwa anafanya nini?
Uchumi wake na biashara zake kama ziligusa jamii , je alikuwa mwanasiasa au mkufunzi , vitu hivi kwasasa ndio vinafanya msiba wako usambae katika mitandao ya kijamii ila wanaokufa ni wengi sana.
Waziri wa afya katika ule mpango wa kutaja tafadhari awamu hii njoo na data za ukweli sio zile za kutengeneza .