Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Nimeonelea ni vyema ku-share hii habari na Wana-Jamii:
Source :HabariLeo | Wanaokula mihogo mibichi kupooza
Wakazi wa Dar es Salaam siku hizi naona wako katika hatari kubwa zaidi kwa sababu utakutana na akina mama wengi na mabeseni yao ya mihogo mibichi kichwani wakiwauzia watu kwa ajili ya kutafuna tu, ni hatari mno, alisema Lweno
Source :HabariLeo | Wanaokula mihogo mibichi kupooza