Wanaokwapua na kuficha pesa ya umma 2025 hamtakuwepo

We waache tu. Wapuuzi wachache wanadhani wamejificha gizani kisa wao wamevaa miwani myeusi wanadhani hawaonekani wakati tunawamulika kwa mwanga mkali na tunawaona. Jamani zama za janja janja na uhuni wa kikundi kidogo kwa mali za umma zimeshapita na wallah haturudi huko kamwe, sijui kwanini hawa wanaojiona ndio wamiliki wa hii nchi hawataki kuelewa na kukubali hili. Sasa ngoja kila mtu ajue kuwa nchi hii sio ya mpuuzi yoyote yule, tunataka taifa lisonge mbele na raia wafurahie kuzaliwa katika nchi waliyopewa na Mungu wao na itakua hivyo, kaa njiani uzibe njia at your own risk, utafyekwa.
 
Watakuambia Dua la kuku halimpati mwewe
 
Kuongozwa na watawala madhalimu na walafi ni sehemu ya adhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…