Tanzania Kwa kipindi hiking imekuwa nchi ya ovyo , wasomi wanaonekana WA ovyo, chuo kikuu chetu kinaonekana kina toa watu WA ovyo, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinaonekana vina mapúngufu , , Mahakama , na Bunge pia. Sasa sijui chanzo ni mapungufu ya moja wao kutoka na mapungufu binafsi, au Shule au jinsia. Mpaka sasa zinataka kuharibu nchi kwenye anga zingine za dini na asili ya ntuNimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti nzima.
Ripoti huijui, hujaisoma umeiona tu imefungwa kwenye gift wraps, kwanza umeambiwa ripoti siyo yako yaani haikuhusu unaenda kujadili nini cover lake, una akili timamu kweli.
Au mimi peke yangu ndio sijui maana ya muhtasari.
View attachment 3580627
Mkuu wenye akili wapo, ila uwepo wa ccm umechangia sana hiki unachokiona. Na kadiri ccm inavyozidi kupoteza ushawishi wa kwa umma, wenye uwezo mdogo ndio wanazidi kupata nafasi za maamuzi, maana kila mwenye nafasi ya juu ambaye ana uwezo mdogo, anahofia wenye uwezo kumfunika. Hivyo hata kama una akili, inabidi ujishushe ili usilete hofu kwa boss wako mwenye uwezo mdogo.Tanzania Kwa kipindi hiking imekuwa nchi ya ovyo , wasomi wanaonekana WA ovyo, chuo kikuu chetu kinaonekana kina toa watu WA ovyo, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinaonekana vina mapúngufu , , Mahakama , na Bunge pia. Sasa sijui chanzo ni mapungufu ya moja wao kutoka na mapungufu binafsi, au Shule au jinsia. Mpaka sasa zinataka kuharibu nchi kwenye anga zingine za dini na asili ya ntu
Mfumo uliopo ni wa kulindana kutokana na kuwepo wezi, wenye uwezo mdogo na walinda madaraka. Mageuzi makubwa ambayo kwa mazingira yaliyopo aidha yapatikane kwa machafuko, ama mapinduzi ili tuanze upya kwenye drawing board.Hili jambo litapungua makali pakitokea uwajibikaji sio siasa.
Na kukandia wale wengine, Kisha waseme kauli zao zilichangiaHapo LENGO KUU ni kuisifia, hakuna cha uchambuzi wala nn!.
Karibu watanzania wote wako hvNchi ya kifala sana hii, imejaa wanafiki wengi sana.
Sad.Mfumo uliopo ni wa kulindana kutokana na kuwepo wezi, wenye uwezo mdogo na walinda madaraka. Mageuzi makubwa ambayo kwa mazingira yaliyopo aidha yapatikane kwa machafuko, ama mapinduzi ili tuanze upya kwenye drawing board.
Ni sawa na ndio maana kachagua watakao ichambuaKama tamko ni sheria, na sheria inataka utekelezaji maana alisha sema hiyo ni mali yake yeye kama Rais.
Inasikitisha sana Aiseee...
Muhtasari wa ripoti ile ulikuwa kimkakati zaidi tena nikatika kuwatetea vyombo vya dola na ulinzi na usalama ni kama wameandika ripoti kujitetea zaidi sio kufuatilia nini hasa kilijili..shamefulNimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti nzima.
Ripoti huijui, hujaisoma umeiona tu imefungwa kwenye gift wraps, kwanza umeambiwa ripoti siyo yako yaani haikuhusu unaenda kuchambua nini rangi ya cover lake, una akili timamu kweli.
Au mimi peke yangu ndio sijui maana ya muhtasari.
View attachment 3580627
Hasa hao wanaoitwa viongozi wa dini ili kutakatisha uhuni wa serikali ndio wa hovyo kabisa.Karibu watanzania wote wako hv