Wanaolalamikia 'SINGO MAZA' wasipuuzwe. WANA HOJA

Sasa Seran unanicheka nini na mimi nimemwambia nini cha kufanya atoke kwa usingo mum. Sometimes sio kupenda kwa mtu kuwa singo mum coz death huchangia, kusalitiana huchangia, viburi between two lovers huchangia and so many occations. So ili kuepukana na hayo tofauti na kifo unaweza tena vizuri sana. Wanawake jifunzeni kunyenyekea sio nimekuja unanisimamia mlangoni ni kama security officer sura umeikunja kama ganda la fenesi na maswali ya kijinga ati unatoka wapi mara ukitoka unaambiwa ukirudi usirudi mikono mitupu ni naenda kuokota hela huko kwa nini nisikupe certificate ya usingo mum nitafte mwingne anaejua maisha japo ya kusema darling pole kwa kuoga mda huu na mda huo anakufuta hata maji masikioni. Masingle mum kauli ya "NNAWEZA ISHI BILA WEWE" ndio inawaharibia na hii ya "WANAUME SURUALI" ni kama mnataka tuvae madera mkiiacha ratio itashuka. Na ndio maana unakuta mwanamme kaacha mrembo high class kwa sura na shape akachukua wa low class aliye na tabia njema.
 


Nikuambie tuu certified Single mother.
Binafsi ninapoletaga mijadala ya single mother ni kwaajili ya kuikomboa jamii.
Kuwashtua wadada ambao hawajazaa na hawajaolewa wawe macho. Wawe makini

Lakini pia kuwazuia vijana wadogo wasijiingize kwenye matatizo mazito yatakayoenda kuleta matatizo zaidi.

Nina ushuhuda na ushahidi wa kutosha vijana wengi waliooa single mother au sogea tukae wakiwazalisha na kuwaacha baada ya miaka miwili mitatu.
Hii imepelekea wanawake kuwa single mother wa watoto zaidi ya watatu baba tofauti hali inayoongeza depression na matatizo kwa mwanamke ukizingatia na uchumi wa watu wetu.
 
Hmm wewe si una mke wewe?😅

Anyways, naona unatafuta malaika uoe, ngoma iko palepale kama vinakushinda kaa mwenyewe, ila usitegemee hayo kutoka kwa mkeo.. hizo treatment nyingi zinafanywa na michepuko, ambayo ni kwa masaa kadhaa na ni kwa sababu ana target kitu kutoka kwako, ila ukimuweka ndani ndio utajua hujui! Japo sipingi asilimia 💯 wapo wachache wanaoweza kufake ndio wanaishia kulalamika kwenye page za instagram kwa kuogopa kuonekana wana midomo, ila kama mwanamke yuko real lazima atakwambia ukweli kikubwa tu asiku disrespect basi, miaka mtakayoishi ndoani na huyo muhalifu mwenzio usitegemee sherehe basi tu omba we anakuheshimu kama mume vinginevyo joto liko paleplae!
 

Mimba anabeba mwanamke.

Ni mwanamke mjinga pekee ambaye hataangalia na kujali masuala ya uzazi akifikiri mwanaume tena asiye mumewe atahusika na mimba yake.

Ngono ni starehe.
Ngono ni biashara.

Kwa wanandoa ngono ni starehe na sehemu ya kupatia mtoto.

MTU kama hajaolewa/hajaoa ajue anafanya umalaya. Na Siku zote Malaya habebi mimba. Akibeba mimba ni yake
 
Usimbe/u singo maza haujaanza leo; upo enzi na enzi, watu wanajua ndio umeanza leo. 😊
Ushamba tu, wanataka mtu akizaa awe mjinga mjinga! Sio lazima kuishi na aliyekuzalisha! Kwasababu wamegundua swala la uchumi limekuwa zito kwa kizazi chenye tamaa ya kupeleka watoto day care na kujitegemea bila kazi basi ndio wanatusi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…