Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

Mkuu hao watu uliowaaja unawajua vizuri au kwenye TV tu?

Mbona kwa Sabaya na Bashite hamkuchonga kiasi hiki?
 
Bado hujateuliwa. Nilijua sasa hivi uko bize kuhamia Wilaya mpya.

Kalaghabaooo
Nani hajateuliwa majumu niliyonayo ya kitaasisi ni zaidi ya mkuu wa wilayaa na wako baadhi ya wakuu wa wilaya wanatamani
 
Mkuu hao watu uliowaaja unawajua vizuri au kwenye TV tu?

Mbona kwa Sabaya na Bashite hamkuchonga kiasi hiki?
Wewe unayewafahamu vizuri tueleze basi labda tunaweza badili mitazamo,

Nafasi ndio hii.
 
We utateuliwa lini?bwana mushi au hutaki uteuzi

Ova
Kasome vizuri andiko lake,ikibidi urudie Mara tatu unaweza kuokota apo kitu cha maana,na zaidi kuelewa ni meseji gani alitaka iwafikie vijana.

Akili ni kujifunza.
 
"Kanzu mpya,shehe ni yule yule"
 
Kitu cha muhimu hapa ni kwamba, rais ana mamlaka ya kikatiba na kisheria kuteua na kutengua anayemtaka Ukuu wa Wilaya.

Kama unaona anaoteua hawafai, cha kufanya ni kubadili mfumo ili rais asiteue, Wakuu wa Wilaya wapatikane kwa kupigiwa kura na wananchi, au cheo kifutwe kazi zifanywe na watendaji wengine.

Kimantiki na kisheria, haina maana kumpa rais nguvu za kikatiba na kisheria kuteua anavyotaka, halafu akiteua anavyotaka kumuingilia na kumpangia ateue vipi.
 
Nasari alikuwa CHADEMA,ndiko alikopikwa akaonekana leo anafaa,Mashinji alikuwa Katibu Mkuu Taifa -chadema.
Walikuwa. Upinzani waliuacha walipohamia CCM.
Kwa maoni yangu, hata walipokuwa CHADEMA hawakuwa wapinzani bali walivaa tu koti la upinzani.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…