Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna matatizo yaliwakuta watu mwaka 2005, wengine hayo hayo yanwakuta leo.... Kwa hiyo hapa suala si muda kwa hiyo mada ya zamani, bali nini kimo ndani ya mada. Mbona kuna watuwanweka mada za 2013 lakini content ya mada ni upuuzi mtupu... Kwa hiyo angalieni kilichomo, sa si muda..pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..