wanaoleta mada zilizopitwa na wakat tuwafanye nn..

pitia hizo mada zilizopitwa na wakati ambazo zimekujuza mengi.. zaid ya kuwapanikisha watu bure.. kitu cha mwaka 2005..
Kuna matatizo yaliwakuta watu mwaka 2005, wengine hayo hayo yanwakuta leo.... Kwa hiyo hapa suala si muda kwa hiyo mada ya zamani, bali nini kimo ndani ya mada. Mbona kuna watuwanweka mada za 2013 lakini content ya mada ni upuuzi mtupu... Kwa hiyo angalieni kilichomo, sa si muda..
 
Kuna watoto humu wangekua ndio wasimamizi wa majukwaa hakika wanachama wengi wangeishia kufungiwa jf.
 
acha kulaumu laumu vp wewe ina mana hujui kusoma tarehe acha ujinga we ni mkubwa ila hamnazo kuna thread zingine za zamani ila zina maana
hahahaha.. nilijua nitakutana na watu kama ww.. umetumia lugha ya kejeli na dharau..(hamnazo) labda tu nikwambie mm watu mnaotumia kejeli km nyinyi huwa nawapuuzia tu.. kwn mfuko mmoja wa sukari hauwezi badili ladha ya bahari kijana..
 
Hamna wasomi humu,mbona mnayoenda kusoma vyuoni ni ya miongo kadhaa iliyopita.mleta mada elewa kwamba kuna mada zilizopita ni nzuri sana na zinaelimisha,tatizo ni wote mnaozichangia hizo mada mnakurupuka tu bila hata ya kuzielewa vizuri na kuzitafakari.
mfano mzuri ni hii mada, ona wengi mnavyokurupuka bila hata kuushughurisha ubongo
 

ndio zipo zinazoelimisha lkn wengi wao wanaleta za kukejeli mkuu na wote.. labda ni hali ya mazoea.. bt ukikubali kuuza utumbo usiogope nzi.. nafikir tunaelewana mkuu..
 
ndio zipo zinazoelimisha lkn wengi wao wanaleta za kukejeli mkuu na wote.. labda ni hali ya mazoea.. bt ukikubali kuuza utumbo usiogope nzi.. nafikir tunaelewana mkuu..

Inaonekana unaijua sana fasihi!! Itumie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…