Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama


Hilo tatizo la degree holders kutoajirika, kosa la nani??...na wewe unaona sawa serikali yako kulipa watu wasome hewa?? Veta zipo kibao nazo zitatoa maboko kama mmeshindwa kubadilisha graduates wa vyuo vikuu ndio mtaweza huko???? Mambo ya kuajiliana tuliweka kupitia wazazi wetu,ndugu zetu na biashara zetu kodi zao zinawajibisha serikali kutenda inavyotakiwa na sio ku misuse kodi zetu, yes serikali iko responsible labda kama tungekuwa hatulipi kodi
 
Veta anayehangaika mitaan n Nan, assume amesoma installation ya umeme majumban kwamba amekosa tenda hata ya 50+ per week, 😂😂 labda naye huyo n jipu alisomea mtihan😂😂
Tenda atazipata wapi wakati wamejazana kibao mtaani as a result tenda zinaenda kwa kujuana au unamtafuta ndugu yako afunge tu. Wasomi wamerunrikwa mtaani Kama makopa kila kitu imekuwa shida. Mpaka kazi za ubarmaid imekuwa kujuana kwa sababu so personel wapo mtaani hawana Cha kufanya
 
Kuna washikaji zangu km 20 graduates wa chuo kikuu ila kazi wanazofanya ni tofauti kabisa, just imagine mtu kasomea aquatic life hlf anazungusha dawa za binadamu kwenye kampuni za kichina mwaka wa 5 sasa
 
Ko unaona Kuna uhaba wa watumish ofcn kwenu na nahs time la kz unashnd Jf 😂😂, afu waletwe wengine mle mishahara tuu😂😂
 
Ko unaona Kuna uhaba wa watumish ofcn kwenu na nahs time la kz unashnd Jf 😂😂, afu waletwe wengine mle mishahara tuu😂😂
Mi siyo dakatari nawaonea huruma wagonjwa wanaoteseka mahospitali I bila madaktari. Shuleni wanafunzi wanajazana mpaka wanakaliana lakini mwl wa physics ni mmoja shule nzima halafu kuanzia form one mpaka form six. Serikali gani isiyojari ustawi wa watu wake!
 

Assumption iko invalid,hizo fursa zilizopo zitaje I DARE YOU, watu wanasoma hapa eleza ulipataje kazi na hao ma genious wanafeli wapi?....
 
vijana wa sasa sio wajinga kama wewe, hawasomi ili waajiriwe.
 
Haujasema wewe na Nani?
 
vijana wa sasa sio wajinga kama wewe, hawasomi ili waajiriwe.
Wakati mtaani wamekuwa ombaomba sana. Nimeshachoka kila siku kuombwa vocha na hela ya kula. Vijana wanaoteseka jamani hata private sector iliyokuwa ndo kimbilio kwao imekufa wawekezaji wanatoeosha mitaji kila siku na kuhama kutoka this dictatorial regime
 
daaah
 
We si bado upo nyumbani unalishwa. Nimekwambia mi Nina bahati kumaliza kipindi Cha jk ajira zilikuwa za kumwaga na Nina ajira nzuri tu ila wahurumie wanaomaliza kipindi hichi Cha kujari barabara tu
Ajira nzuri utoe wapi wewe hohehahe. Muda wa kuja kulialia humu usingeupata
 
Weka pale tangazo la kutaka kuwasaidia watu ajira, hizo PM utakazopata zikufungue akili, unaleta mzaha kwa maisha ya watu...😡😡
Mimi nahitaji nikusaidie wewe, hao wengine sijaona wanalialia humu Kama wewe
 
Ajira nzuri utoe wapi wewe hohehahe. Muda wa kuja kulialia humu usingeupata
Aha umejibu swali japo bila kujua ulivyo na akiri ndogo. Umethibitisha kuwa ajira hazipo Tena nchi hii halafu mnatetea hili li zee lisilojua ajira ni moja ya kukuza uchumi kwa Sabu purchasing power inaongeza ha hivyo investments zinaongezeka pia
 
Una akiri au ni ubinafsi tu. Ukipata kidogo msaidie na mwenzi. Mass kubwa ya graduates are suffering because of this awkward regime ndo hao tunawapigania. Hatujipiganii sisi
Kusaidia wenzangu ndio kuja kulialia humu? Njoo huku babati uone nilivyosaidia watu.
Wewe ni kula kulala, shemeji ndio mtafutaji hapo
 
We unaongea Kama umekatwa kichwa. Maisha hayana uhusiano na kusoma. Mbona maprof siyo matajiri ispokuwa bakhresa ambaye hata la nne hana
Unaelewa hata maana ya utajiri?
Kwa hiyo nchi hii tajiri ni bakhresa tu?
 
Mimi nahitaji nikusaidie wewe, hao wengine sijaona wanalialia humu Kama wewe
Hujaona wakati hutaki kuwaona Mana we umeshiba huwezi kumuona mwenye njaa. Tembea mtaani uone. Hata madada wa kujiuza sasa hivi wameongezeka halafu no graduates na Leo wamekamatwa watu 60 wanatorokea south africa Kama wakimbizi wa kiuchumi
 
Wapi nimekata Mtu kwenda huko?
Nilikuuliza tu kuwa huko wao kazi yao ni kukusubiria wewe uende kubeba box
 
Kuna washikaji zangu km 20 graduates wa chuo kikuu ila kazi wanazofanya ni tofauti kabisa, just imagine mtu kasomea aquatic life hlf anazungusha dawa za binadamu kwenye kampuni za kichina mwaka wa 5 sasa
Kwamba ilibidi afanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…