Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Watu
Mna hasira na government, 😂😂 wapi mlikubaliana mambo ya kuajiliana😂😂, that's why JPM anajenga veta nyingi watu wasome productive programs, maana Kuna degree holders weng Tz hawajilik( Yan hana knowledge na alichokisoma, na tatzo syo mitaala n uzembe wa kujisomea) afu haohao ndo wanachagua Kaz😂
Hilo tatizo la degree holders kutoajirika, kosa la nani??...na wewe unaona sawa serikali yako kulipa watu wasome hewa?? Veta zipo kibao nazo zitatoa maboko kama mmeshindwa kubadilisha graduates wa vyuo vikuu ndio mtaweza huko???? Mambo ya kuajiliana tuliweka kupitia wazazi wetu,ndugu zetu na biashara zetu kodi zao zinawajibisha serikali kutenda inavyotakiwa na sio ku misuse kodi zetu, yes serikali iko responsible labda kama tungekuwa hatulipi kodi