Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,281
Akili yako haina akili, usikute unatype ukiwa Kwa Baba yako wa kambo anayemlea mama yako ili na wewe upate kuishi. Yaani wewe ni bogus kabisa.Inategemea unafanya biashara gani, sitaki nikupe mifano ya wanaofanya vizuri kwa Sasa na waliopata utajiri miaka ya karibuni kupitia biashara ambazo wewe unasema ngumu.
Endelea kushinda jf kulialia tu, ndio ulichobakia nacho.
Wewe hiyo akili umeitoa wapi? Uanze tu kuwa na akili?Akili yako haina akili, usikute unatype ukiwa Kwa Baba yako wa kambo anayemlea mama yako ili na wewe upate kuishi. Yaani wewe ni bogus kabisa.
Sent from my Redmi 6 using JamiiForums mobile app
Narudia tena likichwa lako halina akili matako ya shangaziWewe hiyo akili umeitoa wapi? Uanze tu kuwa na akili?
Juha wa mwisho
Wrong. Kwanza jiulize kuwa hapo zamani hatukuwa na graduates, sasa ni maradufu mara khamsa ishreem. Pili si kweli kuwa hakuna ajira - majuzi tu zilitoka kazi 13000 za walimu; graduates wa SUA sasa ni mabwanashamba private au public baada ya septa ya kilimo na ufugaji kuboreshwa. Ila kuna kundi kubwa pua walimbambwa na vyeti feki, su na hawo unawahurumia?Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.
Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.
Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Hussein Mwinyi wa zanzibar akiletwa huku anaweza rudisha furaha za Watanganyika[emoji3]Ana kibarua kigumu sana.
VISA za kuwaomba watu wahamie Canada zipo na DV lottery zipo. Hiyo ni mifano. Na tukisema "kubeba box" hatumaanishi kubeba makasha, tunamaanisha hizi kazi za viwango vya chini ambazo wengi Ulaya hawafanyi sisi tukienda uko zinafanyika. Jon Stephano ana maelezo mazuri zaidiWapi nimekata Mtu kwenda huko?
Nilikuuliza tu kuwa huko wao kazi yao ni kukusubiria wewe uende kubeba box
Pole sana masikiniMimi nimegraduate tangu 2016 nikiwa na miaka 26 mpaka leo nimefikisha miaka 31 bila bila.
Shetani [emoji216] kakanyaga waya.
JPM jithada zake ni kupunguza ukubwa wa payroll.Hiyo ndiyo gharama ya kuweka dubwasha ikulu
Awamu hii private sector imevurugwa nayo. Wanapunguza wafanyakazi na wengine kufunga kabisa au kuhamisha operations.Kazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.
The issue now serikalin ajira zimepungua sana. Sio kama enzi za jk.
Lazima ujue privaye sector ndio yenye mlango mkubwa wa kuajiri kwa sasa.
Ajira za serikal ni un-predictable kwa sasa
Sekta ya kilimo na ufugaji imeboreshwaje kiongozi?.Wrong. Kwanza jiulize kuwa hapo zamani hatukuwa na graduates, sasa ni maradufu mara khamsa ishreem. Pili si kweli kuwa hakuna ajira - majuzi tu zilitoka kazi 13000 za walimu; graduates wa SUA sasa ni mabwanashamba private au public baada ya septa ya kilimo na ufugaji kuboreshwa. Ila kuna kundi kubwa pua walimbambwa na vyeti feki, su na hawo unawahurumia?
Tatizo mnakariri sana maisha kiasi kwamba unaota ukimaliza tu chuo uajiriwe serikaliniNchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.
Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.
Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Mshenzi wewe!! Unaifahamu Vodafone Fasta...ajiraw za Form six ualimu kipindi cha JK??Alivyoingia Kikwete hakuendelea nayo sababu wasomi walikuwa kibao!!!
Hapo ndipo serikali inafurahi kua na mtu kama wewe,inakua na wahitaji zaidi ya laki 6,halafu inaajiri 1000,na katika kutangaza inasema TUMEMWAGA ajira,wewe na wenzako MNAAMINI kua ajira ni bwerere.Safi sana serikali.Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe unasema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
Anaestahili kuabudiwa ni mmoja tu usije mponzaHussein Mwinyi wa zanzibar akiletwa huku anaweza rudisha furaha za Watanganyika[emoji3]
Kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?