Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

Inategemea unafanya biashara gani, sitaki nikupe mifano ya wanaofanya vizuri kwa Sasa na waliopata utajiri miaka ya karibuni kupitia biashara ambazo wewe unasema ngumu.
Endelea kushinda jf kulialia tu, ndio ulichobakia nacho.
Akili yako haina akili, usikute unatype ukiwa Kwa Baba yako wa kambo anayemlea mama yako ili na wewe upate kuishi. Yaani wewe ni bogus kabisa.

Sent from my Redmi 6 using JamiiForums mobile app
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
Wrong. Kwanza jiulize kuwa hapo zamani hatukuwa na graduates, sasa ni maradufu mara khamsa ishreem. Pili si kweli kuwa hakuna ajira - majuzi tu zilitoka kazi 13000 za walimu; graduates wa SUA sasa ni mabwanashamba private au public baada ya septa ya kilimo na ufugaji kuboreshwa. Ila kuna kundi kubwa pua walimbambwa na vyeti feki, su na hawo unawahurumia?
 
Huu uzi naona umekuwa na majibizano sana, lakini kiukweli serikali inahusika moja kwa moja kwenye swala la ajira kwa kutoa ajira yenyewe (direct employment) au kwa kuweka sera zinazochochea ukuaji wa sekta binafsi ambayo ndo ingeweza kutoa ajira nyingi zaidi (indirect employment). Serikali pia ingeendelea na utaratibu ambao upo kisheria wa kuongeza mishahara na kupanda madaraja kwa watumishi kama njia ya kuongeza mzunguko wa pesa na hivyo kuchochea kukua kwa ajira zisizo rasmi kutokana na watumishi kuongeza matumizi yao (government spending).
 
Awamu hii kiboko paka kipaimara ulipe kodi, tunaenda sharp sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapi nimekata Mtu kwenda huko?
Nilikuuliza tu kuwa huko wao kazi yao ni kukusubiria wewe uende kubeba box
VISA za kuwaomba watu wahamie Canada zipo na DV lottery zipo. Hiyo ni mifano. Na tukisema "kubeba box" hatumaanishi kubeba makasha, tunamaanisha hizi kazi za viwango vya chini ambazo wengi Ulaya hawafanyi sisi tukienda uko zinafanyika. Jon Stephano ana maelezo mazuri zaidi
 
Kazi ya serikal ni kutengeneza mchaka wa ajira kupatikana kwa wingi. Wether ni private or gov based.
The issue now serikalin ajira zimepungua sana. Sio kama enzi za jk.
Lazima ujue privaye sector ndio yenye mlango mkubwa wa kuajiri kwa sasa.
Ajira za serikal ni un-predictable kwa sasa
Awamu hii private sector imevurugwa nayo. Wanapunguza wafanyakazi na wengine kufunga kabisa au kuhamisha operations.
 
Wrong. Kwanza jiulize kuwa hapo zamani hatukuwa na graduates, sasa ni maradufu mara khamsa ishreem. Pili si kweli kuwa hakuna ajira - majuzi tu zilitoka kazi 13000 za walimu; graduates wa SUA sasa ni mabwanashamba private au public baada ya septa ya kilimo na ufugaji kuboreshwa. Ila kuna kundi kubwa pua walimbambwa na vyeti feki, su na hawo unawahurumia?
Sekta ya kilimo na ufugaji imeboreshwaje kiongozi?.
 
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Tatizo mnakariri sana maisha kiasi kwamba unaota ukimaliza tu chuo uajiriwe serikalini
 
Wewe hujui kitu nenda hapo kwa majirani Kenya ukaone wahitimu wa digrii wanasafisha vyoo Kibera
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.

Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.

Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.

Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.
 
Mleta mada ulihondika kama umesoma na huna kazi ni sawa na ni haki yako sababu kichwani huna kitu kichwani
Ulitakiwa kama msomi useme baadhi ya ajira zimezimwa uliposema zote zimezimwa ndio ubwege wako nikauona hadi.Serikali imeajiri karibuni walimu na madaktari kibao wewe unasema zote zimezimwa very sad kuwa na wasomi koko kama wewe
Hapo ndipo serikali inafurahi kua na mtu kama wewe,inakua na wahitaji zaidi ya laki 6,halafu inaajiri 1000,na katika kutangaza inasema TUMEMWAGA ajira,wewe na wenzako MNAAMINI kua ajira ni bwerere.Safi sana serikali.
 
Una maanisha Jakaya alikuwa akifanya makosa?? Nenda kasali upesi kwan una dalili za kuanza kuwa mchawi
Kazi ya serikali sio kuajiri. Huko vyuoni mnaposoma huwa mnaambiwa mkimaliza mtaajiriwa?
 
Back
Top Bottom