Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
- Thread starter
-
- #161
Hamna huruma hapa nawatetea wanaonyanyaswa kipindi hiki Cha uongozi usioeleweka na Nina ameuweka pale Kama vile umejiweka wenyewe. Government is for the people not for its own sake.Ajira nzito ya kupost jf?
Ungekuwa nayo Wala usingekuja humu kutia huruma
Serikali haiwezi fanya huo ujinga wa kuajiri kila Mtu.
Wewe baki humu kulialia tu, muda ukifika nenda mezani utakuta shemeji kishakutafutia chakula
Umesoma upate maarifa, maarifa uyatumie kutatatua matatzo na uish vzr, Kama ulikuw unasoma kujibu mitihan it's up to you ๐๐ JPM anarekebisha mambo yakae poa so lazma watu walie ili wajao(hata 2030............... Waanze kufaid matundandio mlivyo msiosoma ku attack mtu badala ya hoja, Courses ZOTE lazima wawe employed na serikali,only wachache ndio waaachiwe private sector,..again, kumsomesha mtu usimpe ajira,ni bora hio hela umpe ajisimamie baada ya miaka 3 ya kuinvest muda wake na pesa uliyompa,kutakua na matokeo chanya..sio sawa na kumsomesha kumpotezea muda..wether unakubali na kukataa utajiju!
Ona Sasa, Mimi ambae Sina hoja silalamiki Wala kulialia kuajiriwa na serikali. Napambana napata pesa nayamudu maisha vizuri tu.na wewe ambae hukufika la 4, tukusaidieje???,nimeona majibu yako ya kitoooooootoooo..una attack watu badala ya kujenga hoja,anyway ni utoto tu unakusumbua na ugeni,ukiizoea JF utakua matured zaidi katika majibu yako,kwa sasa inabidi tuvumilie tu mapumba yako!
Mbona huna akili wewe. Hatujasema iajiri kila mtu Bali iangalie demands iajiri kutokana na mahitaji. Sasa hivi walimu wanahitajika Sana kila siku wanastaafu na kufa na madaktari pia lakini serikali inapiga Dana Dana tu na kudanganya Uma. Wagonjwa wanakufa huku hamna madaktari kabisaSerikali haiwezi fanya huo ujinga wa kuajiri kila Mtu.
Wewe baki humu kulialia tu, muda ukifika nenda mezani utakuta shemeji kishakutafutia chakula
Umesoma upate maarifa, maarifa uyatumie kutatatua matatzo na uish vzr, Kama ulikuw unasoma kujibu mitihan it's up to you ๐๐ JPM anarekebisha mambo yakae poa so lazma watu walie ili wajao(hata 2030............... Waanze kufaid matunda
People si ndio sisi? Hatujakata tamaa Kama weweHamna huruma hapa nawatetea wanaonyanyaswa kipindi hiki Cha uongozi usioeleweka na Nina ameuweka pale Kama vile umejiweka wenyewe. Government is for the people not for its own sake.
Umesoma upate maarifa, maarifa uyatumie kutatatua matatzo na uish vzr, Kama ulikuw unasoma kujibu mitihan it's up to you ๐๐ JPM anarekebisha mambo yakae poa so lazma watu walie ili wajao(hata 2030............... Waanze kufaid matunda
Hebu yataje hayo mambo anayorekebi
We si bado upo nyumbani unalishwa. Nimekwambia mi Nina bahati kumaliza kipindi Cha jk ajira zilikuwa za kumwaga na Nina ajira nzuri tu ila wahurumie wanaomaliza kipindi hichi Cha kujari barabara tuPeople si ndio sisi? Hatujakata tamaa Kama wewe
Niseme kwa serikali iliyopo sera zao hazijakaa sawa kwenye issue ya private sectors.Ulichosema ni sahihi chief. Tatizo ni kwamba kwenye private sector biashara zinafungwa kwenye awamu hii. Kiwanda cha nguo mazava morogoro kimefungwa na vijaka kama elfu moja wamekuwa un employed. Kiwanda cha tumbaku poa kimefungwa ajira zaidi ya miatano zimepotea. Sera za uchumi awamu hii ya uraisi zimechangia kwenye upotevu was ajira
Mna hasira na government, ๐๐ wapi mlikubaliana mambo ya kuajiliana๐๐, that's why JPM anajenga veta nyingi watu wasome productive programs, maana Kuna degree holders weng Tz hawajilik( Yan hana knowledge na alichokisoma, na tatzo syo mitaala n uzembe wa kujisomea) afu haohao ndo wanachagua Kaz๐Kama haiwezi kufanya ujinga,iendelee tu na ujinga wake wa kupoteza hela za walipa kodi kusomesha wasiokua productive baadae...stupid government
Ona Sasa, Mimi ambae Sina hoja silalamiki Wala kulialia kuajiriwa na serikali. Napambana napata pesa nayamudu maisha vizuri tu.
Nahitaji kukusaidia, nitumie mawasiliano yako pm
Mbona veta wanahangaika mtaani. Sema jpm no failure haijawahi kutokea Africa. He is a bogus president everWatu
Mna hasira na government, ๐๐ wapi mlikubaliana mambo ya kuajiliana๐๐, that's why JPM anajenga veta nyingi watu wasome productive programs, maana Kuna degree holders weng Tz hawajilik( Yan hana knowledge na alichokisoma, na tatzo syo mitaala n uzembe wa kujisomea) afu haohao ndo wanachagua Kaz๐
Assumption tuu, Kama mtu una IQ more than ulowaacha primary, secondary, + waliodisco chuo, means hata kitaa ilibid uwe na uwezo wa kuchanganua fursa kuwzid, sasa mitaan ndo hvo fursa kibao but STD 7 ndo wanaziona afu degree holder unatoa macho, tukuemeweje sasa, ๐คMNHHHH inamaana Wote wasio na ajira sasa hivi walikua wanasomea mitihani?? eti JPM anarekebisha mambo???ya kujenga Chato au??
Una akiri au ni ubinafsi tu. Ukipata kidogo msaidie na mwenzi. Mass kubwa ya graduates are suffering because of this awkward regime ndo hao tunawapigania. Hatujipiganii sisiKumbe una stress za uchaguzi? Mimi sipo huko
Sitakuja kuilaumu serikali kuhusu ajira kwa kuwa nimepewa akili nikaongezea na kusoma.
Wewe endelea kulialia tu umri unasogea
Weka pale tangazo la kutaka kuwasaidia watu ajira, hizo PM utakazopata zikufungue akili, unaleta mzaha kwa maisha ya watu...๐ก๐ก
We unaongea Kama umekatwa kichwa. Maisha hayana uhusiano na kusoma. Mbona maprof siyo matajiri ispokuwa bakhresa ambaye hata la nne hanaAssumption tuu, Kama mtu una IQ more than ulowaacha primary, secondary, + waliodisco chuo, means hata kitaa ilibid uwe na uwezo wa kuchanganua fursa kuwzid, sasa mitaan ndo hvo fursa kibao but STD 7 ndo wanaziona afu degree holder unatoa macho, tukuemeweje sasa, ๐ค
Kwako wewe na akili zako nitakubali kuwa juha, sasa wewe pisi kali unateseka nini watu wakitaka kwenda nje. Kama mtu anataka kwenda nje kutafuta kazi, iweje unamkataza kisha unadai analialia humu. Ebu rudisha remote kwa shemeji, ila kwanza badili hiyo channel ya makatuni uliyokuwa unatazama.Umeona ulivyokuwa juha? Sasa Kama huko mbele wanabembeleza watu kwenda kufanya kazi iweje uje ulielie humu kuwa HAKUNA ajira?
Mbona veta wanahangaika mtaani. Sema jpm no failure haijawahi kutokea Africa. He is a bogus president ever