Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
- Thread starter
- #161
Hamna huruma hapa nawatetea wanaonyanyaswa kipindi hiki Cha uongozi usioeleweka na Nina ameuweka pale Kama vile umejiweka wenyewe. Government is for the people not for its own sake.Ajira nzito ya kupost jf?
Ungekuwa nayo Wala usingekuja humu kutia huruma