Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La waashi...Naam limekuwa jiwe kuu!
Jiongeze bana....Kujiajiri huo siyo ujanja mkuu. Hiyo ni failure of thinking Kama ulivyosema we ni engineer na Mara nyingi ma engineer hawanaga akiri ya kufiri cause and effect ya tatizo wao wanaona sawa tu hata wakikatwa shingo. Demand your rights of being employed by the government you voted for or which stole your votes
Nimegraduate na wewe at the same time and age. Ila fikra yangu ya kuajiriwa ilitoka toka nipo mwaka wa kwanza chuo. Hasa baada ya kusoma vitabu vya rich dad poor dad. Sasa hivi maisha yangu namshukuru Mungu nina familia tyar na sifikirii kuajiriwa. Na sijutii maamuzi yangu.Mimi nimegraduate tangu 2016 nikiwa na miaka 26 mpaka leo nimefikisha miaka 31 bila bila.
Shetani [emoji216] kakanyaga waya.
Ni maamuzi sahihi. Ila kwasasa ni kipindi kigumu sana hata kwa waliojiari.Nimegraduate na wewe at the same time and age. Ila fikra yangu ya kuajiriwa ilitoka toka nipo mwaka wa kwanza chuo. Hasa baada ya kusoma vitabu vya rich dad poor dad. Sasa hivi maisha yangu namshukuru mungu nina familia tyar na sifikirii kuajiriwa. Na sijutii maamuzi yangu.
Tunaisoma nambaJK aliweza kufanya hivyo. Kwa Nini iwe kwa JPM, au haelewi maana ya serikali?