Elections 2015 Wanaomchafua Ben Saanane huu ndio wasifu wake

Elections 2015 Wanaomchafua Ben Saanane huu ndio wasifu wake

Mkuu he hajawai kutuhumiwa kufanya uhalifu wowote?

Nasikia na yeye ana gombea uenyekiti wa Bavicha.
 
Mungu anamjua Mwenyekiti wa BAVICHA AJAYE

ni kweli mkuu!
ila kwa kindi hiki kukaribia na uchaguzi mkuu, chadema inaitaji viongozi makini, wazalendo na ambao awanunuliki,

Ben kuwepo katika viongozi wa juu kabisa wa Bavicha ni muhimu sana, ni mtu makini na mwenye uwezo mkubwa sana wa uongozi, ana juwa kujenda hoja, ni mzalendo, anaijuwa chadema vilivyo, na ana utashi na welidi wa kutosha, ni msomi na hanunuliki.

Hivyo basi namuombe Mungu kati ya viongozi wa juu wa Bavicha wajao na ben nae awe mmoja wao.
 
Khaa!! Mida8 yuko vizuri pia namkubali sana tu. IIla baba yake ni msukuma.
 
Hiyo ndio CV tosha ukiwa cdm

Unahangaika bure dogo,mimi ni MSUKUMA wa Mwanza na ninamuunga mkono BEN.hakika anafaa kututumikia na kutuongoza vijana wenzie kupitia chama makini cha CHADEMA
 
Beny jasiri hana tamaa ya fedha za kishetani,. Hofu kuu kwa wasarit team zito
 
Zitatumika fedha nyingi sana kutaka kumchafua beny humu kwenye mitandao hasa wasakatonge wanaoendekeza dhiki wanaoshinda kwenye ofc za wapambe wa kina lowasa kuomba vifedha .ili kumchafua dogo lakini nawahakikishia .matokeo yatawaumbua
 
Huyu kijana kichwani yupo vizuri. Huwa nasoma post zake naona ni mchambuzi wa mambo mzuri. Achukue fomu agombee tu.
 
Ninachojiuliza na naendelea kujiuliza ni je, wanaomchafua Ben Saanane ni wanachadema kweli? je, wana dhamira ya dhati na chadema kweli?

Kama chama, maamuzi ya kama mtu anafaa ama hafai hufanywa kupitia sanduku la kura
 
Hahahahaaaa . . . . . . . .na bado, mimi ninaamini kwambaBavicha ina watu wengi wenye sifa, anyway, tusubiri
#Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Ben saanane huyu tunayemjua? Chadema sasa imejifia
 
Back
Top Bottom