Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka.
Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya uzinduzi wa filamu ya Royal Tour.
Yeye mwenyewe amesema hana Corona yuko salama na vigumu kupata Corona.
Mamlaka husika ziwachukulie hatua watu wote waliohusika na matumizi mabaya ya mta dao kwa kupotosha umma kwa uzushi huo.
Mbona kipindi cha rais Hayati John Magufuli watu waliotumia
vibaya mitandao walichuliwa hatua?