kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo.
Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata.
Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi.
Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee ambaye alikuwa na uwezo wa kukabiliana na Manara ipasavyo.
Kipindi hicho alikuwa anaisemea Simba wengi wenu alikuwa kama shujaa wenu,hasa kipindi ambacho Manji amejitolea kuteketeza pesa zake Kwa ajili ya yanga. Nadhani wanasimba kumbukumbu mnayo kwasababu makombe mlikuwa mnayasikia tu na kuyaona Kwa wenzenu.
Manara huyu ndo alikuwa anachukiwa zaidi na wanayanga Kwa maneno yake ya shombo,jeuri na kebehi kupitiliza, wanasimba mlikuwa mnafurahi tu hasa yale majina ambayo alikuwa anawaita Yanga,kama vile utopolo,kwasukwasu,vyura au kidimbwi n.k
Leo hii kutokana na yaliyotokea baina ya Manara na waajiri wake wa zamani ikapelekea yaliyopelekea,mara Manara ndio msemaji wa Yanga, nadhani ni mwajiriwa na hii ni sehemu ya ajira mambo ya mapenzi tuyaweke kando. Kwasababu inawezekana ikawa Manara ana mapenzi ya dhati be Kwa Simba lakini pale Yanga ni kibaruani kwake.
Anachokifanya Manara Leo hii ni kile kile alichokifanya akiwa Simba na akapendwa na wanasimba wengi.
Kama ilivyokuwa Kwa wanasimba na wanayanga hivyo hivyo wanampenda Manara hasa in kutokana na mashambulizi yake Kwa wanasimba.
Ninachowakumbusha wanasimba ni kuwa wavumilivu,KISU HIKI WAMEKITENGENEZA WENYEWE.