kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
-
- #21
Sasa maneno ya Ahmed ally ndo mashabiki wa simba??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko serious?? Wao wanapambana personally.
Mashabiki wa Simba hatuhusiki kabisaa.
Utajijuuuu.Ametumwa na zimba
Wewe ni takataka hujui mpira wa Tanzania ukimaliza kunya usitawaze vaa boxer yako inayonuka kinyesi you know nothing about footballNadhani kuna shida kubwa kwa wanayanga. Hakuna shabiki yoyote wa simba anahangaika na manara. Alifukuzwa simba na kasahaulika kwa sababu kuu mbili. Moja simba haihitaji tena ngonjera za kutambiana/kukashifiana wala kumkejeli mwingine huko wameshatoka. Pili, huyo Manara keshaprove failure huko aliko sasa. na kukutaarifu tu Manara its a time bomb.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Wakikujibu nitag mzeeKwanini Ahmed Ally post zake kwenye mitandao ya kijamii au kauli zake kwenye vyombo vya habari ni kutupia vijembe Kwa Yanga au Manara kama kweli zimba imetoka huko kwenye ngonjera?
Kwahiyo hiyo takataka yenu Ahmed Aly anapost vitu vyenye ueledi?Maneno ya ahmed na haji yako sawa? Kuna ule utani wa kawaida wa kuchombeza sio maneno ya kihuni ya manara. nikuambie tu simba wangeumia sana kama manara angetulia akawa msemaji mwenye uweledi na kutoa kauli za kujenga taasisi, kuhamasisha mashabiki hasa kiuchumi nk sio umbea wa kizaramo alionao tena sasa ndio kama kakatwa kichwa amewehuka sana. huko yanga tu wanamlia timing analiwa kichwa muda si mrefu. wanayanga kindakindaki wameshaangza kulipigia kelele na limeshafika kwenye uongozi. kama hujui chukua hilo
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Ulishawahi kumsikia kiongozi yeyote wa Yanga kipindi hicho ananzungumzia Manara?Ushawahi kuskia kiongozi yoyote wa simba anamzungumzia haji ?
Tunaendeleza malezi yenu,nyie ndo mmemfanya Manara awe vile.Nyie endeleeni kumlea matokeo yake mtayaona kipindi alipokuwa simba sio kila kitu simba walikuwa wanakubaliana naye aliposema mashabiki wa utopolo msije uwanjani simba walimkataa ila yanga mnalea ujinga wake.
Kwani Kuna kiongozi wa Yanga umemsikia anamzungumzia Ahmed? Ndivyo ilivyo hata hapo kabla viongozi wa Yanga walikuwa hawamzungumzii Haji.Ushawahi kuskia kiongozi yoyote wa simba anamzungumzia haji ?
Isaya 5:20Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo.
Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata.
Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi.
Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee ambaye alikuwa na uwezo wa kukabiliana na Manara ipasavyo.
Kipindi hicho alikuwa anaisemea Simba wengi wenu alikuwa kama shujaa wenu,hasa kipindi ambacho Manji amejitolea kuteketeza pesa zake Kwa ajili ya yanga. Nadhani wanasimba kumbukumbu mnayo kwasababu makombe mlikuwa mnayasikia tu na kuyaona Kwa wenzenu.
Manara huyu ndo alikuwa anachukiwa zaidi na wanayanga Kwa maneno yake ya shombo,jeuri na kebehi kupitiliza, wanasimba mlikuwa mnafurahi tu hasa yale majina ambayo alikuwa anawaita Yanga,kama vile utopolo,kwasukwasu,vyura au kidimbwi n.k
Leo hii kutokana na yaliyotokea baina ya Manara na waajiri wake wa zamani ikapelekea yaliyopelekea,mara Manara ndio msemaji wa Yanga, nadhani ni mwajiriwa na hii ni sehemu ya ajira mambo ya mapenzi tuyaweke kando. Kwasababu inawezekana ikawa Manara ana mapenzi ya dhati be Kwa Simba lakini pale Yanga ni kibaruani kwake.
Anachokifanya Manara Leo hii ni kile kile alichokifanya akiwa Simba na akapendwa na wanasimba wengi.
Kama ilivyokuwa Kwa wanasimba na wanayanga hivyo hivyo wanampenda Manara hasa in kutokana na mashambulizi yake Kwa wanasimba.
Ninachowakumbusha wanasimba ni kuwa wavumilivu,KISU HIKI WAMEKITENGENEZA WENYEWE.
Sawa mfalisayoIsaya 5:20
Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
Correction sema MFARISAYO na siy Mfalisayo.Sawa mfalisayo
Sawa mfarisayoCorrection sema MFARISAYO na siy Mfalisayo.
Mimi ni Mwanafunzi wa Yesu
Manara amefaulu vizuri mafundisho aliyoyapata akiwa kwenu. Hapo walimkanusha kwasababu ya kimaslahi,kwani washabiki wa Yanga walikuwa wanaingia bure viwanjani?huyu aliyekanwa na klabu alipopiga marufuku wana yanga kuingia mechi za simba za kimataifa? huyo aliyefyukuzwa? embu hangaikeni na hilo zigo lenu la mavi na mlifundishe kupiga mswaki
View attachment 2319808
Hasa Kwa kazi yake kubwa anayoifanya kwenye mitandao ya kijamii katika kuihami brand ya Yanga na Viongozi wake.Nadhani itakuwa mnaelewa kwanini uongozi wa Yanga ulikubali kufanya maamuzi magumu ya kumuajiri Manara pale Yanga.