Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Basi tufanye Samia Afe umlilie na weweNaomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli.
Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai hata kama nchi nzima itafungwa mabomba ya kutoa asali na maziwa majumbani.
Ni watu wanafiki na wabinafsi tu wasioguswa na shida na mateso ya watu wengine ndio hawataona tatizo kisa tu Magu alinunua ndege, kujenga SGR, n.k kama ambavyo hata wakoloni walifanya enzi zao.
Kwahiyo, wale wote mnamlaumu Samia huku mkimlilia Magufuli, watu kwangi ni wanafiki na wabinafsi na hawajui wanachosimamia
Kama leo unamlaumu Samia kwa kumuweka Lissu ndani, wakati wa Magufuli wapinzani hawakuwekwa mahabusu na hata kufungwa jela?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa kuvuruga uchaguzi, wakati wa Magufuli kulikuwa na kinachostahili kuitwa uchaguzi?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa matumizi mabaya ya kodi zetu, kurudia chaguzi za wabunge na madiwani waliokuwa wanaunga mkono juhudi, hayskuwa matumizi mabovu ya kodi zetu?
Kama Magu alikuwa msafi, CAG Prof Assad kwanini alioondoleea ofisini katika mazingira ya kutatanisha?
Kama hoja ni miundombinu alioiacha Magufuli, wakoloni tunaowalaani mpaka leo hawakuacha miundombinu?
Mtumishi wa umma unaelalamikia nyongeza mdogo ya mshahara kipindi hiki huku unamlilia Magufuli, wakati wa Magufuli hata hio nyongeza ndogo uliipata?
Ndugu zangu, tuache unafiki, wote hawa wawili(Samia na Magufuli) wote wana sifa zinazofafana tofauti yao ni kuzidiana viwango tu.
Tumuogope Mungu.
Umelogwa n.a. kung'olewa ubongo, Yaani huna akiliMama Samia ni rais bora zaidi kuwahi kuwepo nchini.
Samia kauwa wengi kuliko Magufuli n.a. vita vya IranNaomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli.
Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai hata kama nchi nzima itafungwa mabomba ya kutoa asali na maziwa majumbani.
Ni watu wanafiki na wabinafsi tu wasioguswa na shida na mateso ya watu wengine ndio hawataona tatizo kisa tu Magu alinunua ndege, kujenga SGR, n.k kama ambavyo hata wakoloni walifanya enzi zao.
Kwahiyo, wale wote mnamlaumu Samia huku mkimlilia Magufuli, watu hao kwangu mimi ni wanafiki na wabinafsi na zaid hawajui wanachosimamia.
Kama leo unamlaumu Samia kwa kumuweka Lissu ndani, wakati wa Magufuli wapinzani hawakuwekwa mahabusu na hata kufungwa jela?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa kuvuruga uchaguzi, wakati wa Magufuli kulikuwa na kinachostahili kuitwa uchaguzi?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa matumizi mabaya ya kodi zetu, kurudia chaguzi za wabunge na madiwani waliokuwa wanaunga mkono juhudi, hayskuwa matumizi mabovu ya kodi zetu?
Kama Magu alikuwa msafi, CAG Prof Assad kwanini alioondoleea ofisini katika mazingira ya kutatanisha?
Kama hoja ni miundombinu alioiacha Magufuli, wakoloni tunaowalaani mpaka leo hawakuacha miundombinu?
Mtumishi wa umma unaelalamikia nyongeza mdogo ya mshahara kipindi hiki huku unamlilia Magufuli, wakati wa Magufuli hata hio nyongeza ndogo uliipata?
Ndugu zangu, tuache unafiki, wote hawa wawili(Samia na Magufuli) wote wana sifa zinazofafana tofauti yao ni kuzidiana viwango tu.
Tumuogope Mungu.
Tafakari kwa makiniAssad huyu team mtandao aliyediliki kusifia mkataba wa Dp world kweli waafrika sio binadamu kamili JPM yuko mbali sana ukimtoa Nyerere JPM ndo anafuata
cdm hivi ilifanya jambo gani la maana kuzuia mtafaruku ule mkuu?Samia kauwa wengi kuliko Magufuli n.a. vita vya Iran
Ilitoa elimu kwa Raiacdm hivi ilifanya jambo gani la maana kuzuia mtafaruku ule mkuu?
Ndugu zangu, tuache unafiki, wote hawa wawili(Samia na Magufuli) wote wana sifa zinazofafana. Tofauti yao ni kuzidiana viwango tu.📌🔨Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli.
Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai hata kama nchi nzima itafungwa mabomba ya kutoa asali na maziwa majumbani.
Ni watu wanafiki na wabinafsi tu wasioguswa na shida na mateso ya watu wengine ndio hawataona tatizo kisa tu Magu alinunua ndege, kujenga SGR, n.k kama ambavyo hata wakoloni walifanya enzi zao.
Kwahiyo, wale wote mnamlaumu Samia huku mkimlilia Magufuli, watu hao kwangu mimi ni wanafiki na wabinafsi na zaid hawajui wanachosimamia.
Kama leo unamlaumu Samia kwa kumuweka Lissu ndani, wakati wa Magufuli wapinzani hawakuwekwa mahabusu na hata kufungwa jela?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa kuvuruga uchaguzi, wakati wa Magufuli kulikuwa na kinachostahili kuitwa uchaguzi?
Kama leo unalaumu utawala wa Samia kwa matumizi mabaya ya kodi zetu, kurudia chaguzi za wabunge na madiwani waliokuwa wanaunga mkono juhudi, hayskuwa matumizi mabovu ya kodi zetu?
Kama Magu alikuwa msafi, CAG Prof Assad kwanini alioondoleea ofisini katika mazingira ya kutatanisha?
Kama hoja ni miundombinu alioiacha Magufuli, wakoloni tunaowalaani mpaka leo hawakuacha miundombinu?
Mtumishi wa umma unaelalamikia nyongeza mdogo ya mshahara kipindi hiki huku unamlilia Magufuli. Wakati wa Magufuli hata hio nyongeza ndogo uliipata?
Ndugu zangu, tuache unafiki, wote hawa wawili(Samia na Magufuli) wote wana sifa zinazofafana. Tofauti yao ni kuzidiana viwango tu.
Tumuogope Mungu.