Wanaomtetea Wema Sepetu Naona Wamepungukiwa Akili

Mwinginw huyu...lol
 
Acha tupungukiwe akili tu haina mbaya
 
Wapuuuzi na wajinga..anatetewa na viazi wenzie....wanaotamani life lake...eti role model..role model wa ukahaba....wanaomtetea ni makahaba wenzie.
Mtu hana cha maana mjini anachofanya hlf eti role model[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Kama Wema Aizak Sepetu(mtoto wa Balozi) atatoa ushirikiano mzuri kwa Polisi wafuatao wakae mguu sawa.. Diamond...Martin Kadinda..Jokate(japo ndio wanasema kamchongea Wema kwa bwana wake) n.k
 
Una uhakika ndo hao hao?
 
Hii nchi ngumu sana kama ukisikiliza maneno ya kila mmoja..

Hao wanaomtetea huyo wema ndio mara nyingi wanailaumu serikali kwa kushindwa kupambana na madawa ya kulevya..

Wanataka nini??
 
Usihukumu usije ukahukumiwa, lamsingi tusubiri uchunguzi. Tatizo watu wengi hufikiri kwa kiwango cha chini sana, hivi tukiachia mbali hoja ya hao wasanii, hivi wauza unga hawajulikani? Mateja wanapata wapi hizo dawa za kulevya?

Ukijibiwa hilo mkuu usisahau kuniita niseme namimi japo neno.
 
OVA
 
Na wewe uache vyombo vya usalama vifanye kazi yake.Mtu atabaki kuwa mtuhumiwa mpaka mahakama itakavyoamua vinginevyo.Hata mimi naunga mkono vita juu ya dawa za kulevya.
 
mleta uzi we ndio mnafki mkubwa,mambo ya wema yanakuhusu nini,unaanzaje kuanzisha uzi kuhusu yeye huku ukitaka asitetewe?ingekua wema si lolote bongo hii usingekalisha kali.o zako hizo ngumu ukamuandika,ngoja uone lile jing.a linavyokwenda kuumbuka sasa.
 
wanaomtetea wema ni wauza K wenzake na wanunuzi wake......kwanza mm ningekua Makonda......wema angekaa sana ndani ili asiharibu upelelezi...
 
Halafu wema tu ndio anaonekana kuonewa. Wengine waliokamatwa hata hakuna anayewaongelea. Nonsense kabisa.
Kama hawana hatia Mungu yupo pamoja nao, kama watakutwa na hatia sheria ichukue mkondo. Who is Wema by the way???!
 
kwa hiyo anashikiliwa na jeshi la polisi akiwa na Ujauzito wake
 
Watanzania hawajitambui ndo maana tupo tupo tu, hatujui tunataka nini na nini hatutaki
 
Wema hausiki!
Bongo hii mtu akiwa na good life hana time ya kutoa penzi kwa akina makonda basi anakua suspect wa dawa za kulevya!

Mbona lemutuz hakamatwi?
 
Kiukweli hata mm imenishangaza wengi waliposti picha ya RAY C,CHID BENZI na NANDO leo hii hatua zimeanza kuchukuliwa watu wanageuka tena au JELA ni kwa watu hoehae tu??? ukweli na usemwe tu maisha wanayoishi hawa wasanii wetu hayaendani na uhalisia wanachokifanya .Wema amekua MISS TZ 2006 na kuanzia hapo wamepita mamiss wengi ambao hawajashine....alienda kwenye MOVIES ,wenyewe mnajua kipato cha bongo movies,sijui akafungua kampuni inayodili na filamu sijui ndiyo ENDLESS fame pale alitoa movie moja tu inayoitwa MADAM na NYIMBO ya msanii MIRROR. sasa jiulize watu wanaishi ishi vipi kama kipato halali akiendani na uhalisia wa maisha wanayoishi???. Unaweza ukatetea labda anauza PAPUCHI lakini hata kama ni papuchi gani hiyo isiyochoka muda wote?? kwahiyo life style inawahukumu wasanii wetu hebu mcheki JACKLINE MTABAULIWE ,FARAJA KOTA na NANCY SUMARI hawa vipato vyao vinaelezeka .tuwe wa kweli coz hata hao akina KIM KARDASHIAN,RIHANNA, BEYONCE ,AMBER ROSE na wengineo huko majuu wanashughuli zinazo eleweka lakini hawa MASUPER STAR wetu wanatia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…