Kiukweli hata mm imenishangaza wengi waliposti picha ya RAY C,CHID BENZI na NANDO leo hii hatua zimeanza kuchukuliwa watu wanageuka tena au JELA ni kwa watu hoehae tu??? ukweli na usemwe tu maisha wanayoishi hawa wasanii wetu hayaendani na uhalisia wanachokifanya .Wema amekua MISS TZ 2006 na kuanzia hapo wamepita mamiss wengi ambao hawajashine....alienda kwenye MOVIES ,wenyewe mnajua kipato cha bongo movies,sijui akafungua kampuni inayodili na filamu sijui ndiyo ENDLESS fame pale alitoa movie moja tu inayoitwa MADAM na NYIMBO ya msanii MIRROR. sasa jiulize watu wanaishi ishi vipi kama kipato halali akiendani na uhalisia wa maisha wanayoishi???. Unaweza ukatetea labda anauza PAPUCHI lakini hata kama ni papuchi gani hiyo isiyochoka muda wote?? kwahiyo life style inawahukumu wasanii wetu hebu mcheki JACKLINE MTABAULIWE ,FARAJA KOTA na NANCY SUMARI hawa vipato vyao vinaelezeka .tuwe wa kweli coz hata hao akina KIM KARDASHIAN,RIHANNA, BEYONCE ,AMBER ROSE na wengineo huko majuu wanashughuli zinazo eleweka lakini hawa MASUPER STAR wetu wanatia shaka.