Wanaomtukuza na hata kumuabudu rais wanajua balaa wanalomtengenezea?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

1745007670212.png

1745007909907.png
1745007705490.png

Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika mazingira ya kutatanisha. Alipenda kupigiwa magoti na kutukuzwa karibu na kuabudiwa.

Baada ya kifo chake, wote tunajua aliyemrithi. Bahati mbaya, badala ya kukomesha ibada za binadamu, wahusika walizizidisha hadi wafuasi wao kudhalilishwa kiasi cha kuitwa chawa na baadaye machawa. Je hawa chawa na wasifiaji wamejifunza nini tokana na uungu mtu? Je huyu wanayemtukuza na kumuabudia, anapenda?

Kama hapendi, kwanini anawaacha waendelee kumchonganisha na mwenyezi Mungua apaswaye kuabudiwa na kutukuzwa? Je tatizo ni uwezo wa kuelewa au urahibu wa kupenda kuabudiwa na kutukuzwa? Nauliza tu wanangu na mabinti zangu.
 
View attachment 3308890​

View attachment 3308893View attachment 3308891​

Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika mazingira ya kutatanisha. Alipenda kupigiwa magoti na kutukuzwa karibu na kuabudiwa. Baada ya kifo chake, wote tunajua aliyemrithi. Bahati mbaya, badala ya kukomesha ibada za binadamu, wahusika walizizidisha hadi wafuasi wao kudhalilishwa kiasi cha kuitwa chawa na baadaye machawa. Je hawa chawa na wasifiaji wamejifunza nini tokana na uungu mtu? Je huyu wanayemtukuza na kumuabudia, anapenda? Kama hapendi, kwanini anawaacha waendelee kumchonganisha na mwenyezi Mungua apaswaye kuabudiwa na kutukuzwa? Je tatizo ni uwezo wa kuelewa au urahibu wa kupenda kuabudiwa na kutukuzwa? Nauliza tu wanangu na mabinti zangu.​

Umaanishani mwanangu?
 
View attachment 3308890​

View attachment 3308893View attachment 3308891​

Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika mazingira ya kutatanisha. Alipenda kupigiwa magoti na kutukuzwa karibu na kuabudiwa.

Baada ya kifo chake, wote tunajua aliyemrithi. Bahati mbaya, badala ya kukomesha ibada za binadamu, wahusika walizizidisha hadi wafuasi wao kudhalilishwa kiasi cha kuitwa chawa na baadaye machawa. Je hawa chawa na wasifiaji wamejifunza nini tokana na uungu mtu? Je huyu wanayemtukuza na kumuabudia, anapenda?

Kama hapendi, kwanini anawaacha waendelee kumchonganisha na mwenyezi Mungua apaswaye kuabudiwa na kutukuzwa? Je tatizo ni uwezo wa kuelewa au urahibu wa kupenda kuabudiwa na kutukuzwa? Nauliza tu wanangu na mabinti zangu.
Gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu kiongozi wa Tanazania na kipenzi cha wananchi wote Dr.Samia Suluhu Hassan daima atasifiwa na kila mTanzania mwenye mapenzi mema na Taifa lake,

Mwenyezi Mungu amempa karama na vipawa vya kipekee sana Dr Samia Suluhu Hassan, ndio maana anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni vizuri sana kumuombea kwa Mungu mama huyu, kumpongeza na kumpa moyo ili hatimae azidi kufanya kazi nzuri zaidi kwajili ya waTanzania wote 🐒
 
Atasifiwa na chawa funza na kunguni. Heri wawndelee na iwe kama mwendazake. Amina
 
Ingekua hivyo Kagame na Museveni wangeshakufa kitambo

Mbona Lissu ana chawa anapenda kutukuzwa zaidi ya hata ya Magufuli

Nyie vichaa bana
 
View attachment 3308890​

View attachment 3308893View attachment 3308891​

Kwa wanaokumbuka matukio ya kisiasa nchini, watakubaliana nami kuwa hii tabia ya uchawa na kusifia kila kitu ilianzishwa na John Magufuli alipokuwa rais. Matokeo yake, Magufuli alikuwa katika mazingira ya kutatanisha. Alipenda kupigiwa magoti na kutukuzwa karibu na kuabudiwa.

Baada ya kifo chake, wote tunajua aliyemrithi. Bahati mbaya, badala ya kukomesha ibada za binadamu, wahusika walizizidisha hadi wafuasi wao kudhalilishwa kiasi cha kuitwa chawa na baadaye machawa. Je hawa chawa na wasifiaji wamejifunza nini tokana na uungu mtu? Je huyu wanayemtukuza na kumuabudia, anapenda?

Kama hapendi, kwanini anawaacha waendelee kumchonganisha na mwenyezi Mungua apaswaye kuabudiwa na kutukuzwa? Je tatizo ni uwezo wa kuelewa au urahibu wa kupenda kuabudiwa na kutukuzwa? Nauliza tu wanangu na mabinti zangu.
Kujizima data
 
Gentleman,
kwa Neema na Baraka za Mungu kiongozi wa Tanazania na kipenzi cha wananchi wote Dr.Samia Suluhu Hassan daima atasifiwa na kila mTanzania mwenye mapenzi mema na Taifa lake,

Mwenyezi Mungu amempa karama na vipawa vya kipekee sana Dr Samia Suluhu Hassan, ndio maana anafanya kazi nzuri mno kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni vizuri sana kumuombea kwa Mungu mama huyu, kumpongeza na kumpa moyo ili hatimae azidi kufanya kazi nzuri zaidi kwajili ya waTanzania wote 🐒

Hiyo kazi mtaifanya ninyi machawa, maana sifa kubwa ya chawa ni kukosa akili.

Mwenye akili kamwe hawezi kufanya kazi ya kumsifia au kumwabudu mwanadamu. Mwanadamu hata akifanya vyrlema, hupongezwa.

Ninyi machawa, kwa sababu ya upungufu wa akili endeleeni kumsifia na kumwabudu. Kwa vile ninyi mnafanya hivyo kwa sababu ya kukosa akili, mnaweza kusamehewa. Ila anayesifiwa kwa kuwa ana akili timamu, anaposhindwa kukemea, ndiye atabeba adhabu ya YEYE ALIYE MKUU AMBAYE PEKEE ANASTAHILI UTUKUFU NA KUABUDIWA.
 
punguza mihemko mtakkatifu mwenye makasiriko uliekosa point :pedroP:
 
Back
Top Bottom