Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Nashindwa kuelewa kwa nn watu wanamtetea huyu mwanamke. Wote wana makosa na pengine Jde kafanya kubwa zaidi maana wimbo wake utaendelea kuwepo kwa decades kibao zijazo
 
Huyu jamaa katudhalilisha sana jinsia imara ya kiume. Miaka kumi na tano unadai kuwa ulikuwa una......joza binti halafu hakuna ushahidi wowote wa offspring? Je binti akisema jamaa ni mzushi atabisha? Imbecile!
 
kwani kashaomba huo msamaha wenyewe mnaodai au bado,mbona sisikii updates,captain anasikika kwenye kipind cha jahaz kama kawaida?
 
Nenda akuoe ukave nafas ya jide alafu nyimbo n kwa ajil ya mashabik siyo gadner
Hata we unaweza kuolewa na Gadna ukitaka mi naongea reality Jide ilikuwa wakigombana kidogo na Gardner alikuwa anamtungia wimbo huo ndo ukweli. Namna hii haipendezi Sasa kama hutaki chukua time.
 
Ofcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???

Think Think Think.
Abuse sio lazima ihusishe physical. Hata kumtukana mtu ni abuse, ni sawa na alivyofanya G. Habash kwa Jide. Lakini mbona Jide ametunga nyimbo kibao kuwasema anaotofautiana nao, huo sio unyanyasaji? Leo kapigwa TK watu wote wanamtetea Jide, teh teh...
 
Hata we unaweza kuolewa na Gadna ukitaka mi naongea reality Jide ilikuwa wakigombana kidogo na Gardner alikuwa anamtungia wimbo huo ndo ukweli. Namna hii haipendezi Sasa kama hutaki chukua time.
cute datty , with that ID (cute) and avatar I assume utakuwa girl na nishaanza kukupenda; wallah tena
manake unaangalia source ni nini na kueleza wazi wazi bila kujali kwamba nawe ni she!

Unafahamu kwamba as a woman, it's stupid kumpiga vijembe ex wako! Mwanamke kumtetea Jide kwa nguvu zote inaonesha hata yeye anaweza kumkashifu na kumpiga vijembe ex wake kwa njia possible kwake! Hawa wanataka kuonesha kwamba Gardner ni tatizo huku wakisahau kwamba the guy amekuwa attacked several time! Mashabiki wa Jide wamekuwa mara kwa mara wakimkashifu Gardner kwa maneno ya kuchukiza! Wakati ule mipasho na ngoma za Jide moja kwa moja (mashabiki wa Jide) walikuwa wanazielekeza kwa Jide leo hii Jide kapigwa kombola wanageuka kwamba Jide hakuwa anamuimba Gardner!!! Na mashabiki hawa wasingekuwa wanatoa kashfa kwa Gadna endapo from the beginning Jide angeonesha respect kwa ex wake!! Leo hii watu wanapiga kelele wakisahau kwamba mtu aliyeanza kuwa attacked hawezi kuchagua silaha ya kujibia mashambulizi!
 
chige we endelea kunipenda tu worry out, Mimi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za jide but kwa hili amekosea sana wala simuungi mkono kumtukana ex wako ni ushamba tu, Na Gardner ni mvumilivu kinoma na angeendelea kukaa kimya wallah kifua kingempasuka, katupa kombora Moja tu huku watu mtafaruku Nampa big up sana Gardner. Hivi mnajua alikuwa anaumia kiasi gani alivokuwa akiimbwa????
 
QUOTE="amaizing, post: 16158098, member: 140447"]Ifike mahali muache kudharau na kutukana wanawake

Hao ndio mama zenu na dada zenu[/QUOTE]Kwa hiyo wanaume sio baba zenu wala kaka zenu? Mama yako ni yule aliyekuzaa tu. Hauwezi kumuita mkeo kama mama yako. Haupo serious...
 
Mwanamme ambaye anamkojoza mwanamke wake haswaaaa hatangazi dunia nzima sasa ndo ujue jide hakukojozwa
 
Captain kavumilia sana makombora yalikuwa mengi sana toka kwa ex wake, Yeye katoa moja tu kilio kila mtaa.....Lazima tuwe fair stress zilimzidia
 
cute datty,Yaani nitakupenda cku zote na hapa umeongea jambo la msingi sana kwamba ni shabiki wa Jide manake kuna watu wanadhani kumpinga mtu ni kumchukia!

Binafsi, ingawaje siwezi kusema mimi ni shabiki wake lakini ni mfuatiliaji mkubwa sana wa kazi zake tangu enzi za matumizi ya tape na sina chuki nae. Sehemu moja tu huwa napishana na Jide... tabia yake ya kupenda kutengeneza bifu! Na ktk hili, sio Jide peke yake... kwa asili mimi nina aleji na wapenda magomvi! Dudubaya hadi ameacha muziki; ckupata kuwa mpz wa kazi zake hata mara moja nikiacha ya kwanza kabisa kabla hajaanza ukorofi! Niache wanamuziki wa zamani, Nay wa Mitego is a great guy lakini ananikwaza kuliko msanii kwa sasa! I know co kwamba Nay ni mpenda bifu lakini staili ya mashairi yake ni rahisi sana kutengeneza bifu! Mimi ni great fan wa Dimond lakini nilipaka sana JF hii hii cku alipoingia kwenye bifu na Davido... I didn't stand for him na kv mmoja wa watu wake ni mtu wangu wa karibu; nilimwambia wazi kwamba alichofanya Chibu ni upumbavu kwa sababu hapakuwa na sababu za msingi za kufanya hivyo! So, that's how I am... nachukia sana tabia za kuendekeza bifu!

Sasa yote tisa; hadi na ex wako! Tena ex wa ndo iliyodumu kwa miaka kadhaa! Mbaya zaidi, ex mwenyewe ilikuwa kila akichokolewa; a nakausha! Gadna ilikuwa hata akihojiwa tu kuhusu kutengana na Jide; mara zote alikuwa anakataa kuongea lolote! Ktk hali ya kawaida huu ulikuwa ni ujumbe tosha kwa ex wake kwamba watengane kwa amani! And look, ingawaje kwa secular laws Gadna angetaka kudai sehemu ya mali angepata lakini jamaa akapotezea kwa 100% lakini yote hiyo kwa Jide haikutosha kuona kwamba mwenzake ameamua kuanza ukurasa mpya bila mikwaruzano na ex wake!
 
simtetei Gardner wala Jaydee niko katikati. Tukumbuke jinsi ambavyo JD alianza kumtusi baada ya kuachana / kuachwa / kuacha, wanajua wao. maneno mengi sana alimdhalilisha Gardner as if hawakua wanandoa. Nilishangaa sana na nilijiuliza maswali mengi. siamini kama misaada lazima iwe kutoa pesa. ninachojua mimi JD alifika pale alipokua sababu ya mumewe, haina maana kua mumewe alikaa tu akimtegemea huyo Dada. Gardner amejitahidi sana kua kimya muda wote ambao JD amekua akimtusi tatizo ni pale ambapo tusi lake moja limefunika yote ya JD. ninachowashauri hawa watu wawili hasa JD aache uswahili. Ukiachana na mpenzi / mume / mke unatakiwa kusamehe na kusahau. Unapomzungumzia kutwa kucha inaonyesha bado unampenda na unamuhitaji.
Akubali maisha yasonge mbele. Kumdhalilisha mumewe wa zamani haimsaidii chochote zaidi ya kumshushia hadhi yake. Alivyo sio mtu wa kufanya anayoyafanya. Tukumbuke kua Gardner aliongea kwa hasira za maneno ya muda mrefu toka kwa mke wake ukichanganya pombe ndio akamaliza kabisa ubishi. Hii biashara ya kusema ametukana wanawake wote ni kukuza tu ionekane kakosa sana lakini aliyetukanwa na JD na si wengine. Tujifunze kutokukuza mambo.

Umemaliza kila kitu Da Asia. Exactly, I was thinking the same.
Ulioongea ni ukweli mtupu ambao wanawake wengi hawaukubali ila ndo uhalisia.

Wote sasa wakae kimya waache kujidhalilisha. Ila kwa jinsi alivyo Jide, ataendeleza lii ligi aliyoianzisha yy, hatakaa kimya kwa hili bandiko alilolitoa Gadner.
 
Back
Top Bottom