mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Nashindwa kuelewa kwa nn watu wanamtetea huyu mwanamke. Wote wana makosa na pengine Jde kafanya kubwa zaidi maana wimbo wake utaendelea kuwepo kwa decades kibao zijazoLady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Hata we unaweza kuolewa na Gadna ukitaka mi naongea reality Jide ilikuwa wakigombana kidogo na Gardner alikuwa anamtungia wimbo huo ndo ukweli. Namna hii haipendezi Sasa kama hutaki chukua time.Nenda akuoe ukave nafas ya jide alafu nyimbo n kwa ajil ya mashabik siyo gadner
Abuse sio lazima ihusishe physical. Hata kumtukana mtu ni abuse, ni sawa na alivyofanya G. Habash kwa Jide. Lakini mbona Jide ametunga nyimbo kibao kuwasema anaotofautiana nao, huo sio unyanyasaji? Leo kapigwa TK watu wote wanamtetea Jide, teh teh...Ofcourse mwanamke hawezi mdhuru mwanaume, hivi ngumi ya mwanamke kwa mwanaume na ngumi ya mwanaume kwa mwanamke matokeo yanaweza kua sawa???
Think Think Think.
cute datty , with that ID (cute) and avatar I assume utakuwa girl na nishaanza kukupenda; wallah tenaHata we unaweza kuolewa na Gadna ukitaka mi naongea reality Jide ilikuwa wakigombana kidogo na Gardner alikuwa anamtungia wimbo huo ndo ukweli. Namna hii haipendezi Sasa kama hutaki chukua time.
Haaaaaa kwa kweliPengine ulie sema hivo wewe ngemse
simtetei Gardner wala Jaydee niko katikati. Tukumbuke jinsi ambavyo JD alianza kumtusi baada ya kuachana / kuachwa / kuacha, wanajua wao. maneno mengi sana alimdhalilisha Gardner as if hawakua wanandoa. Nilishangaa sana na nilijiuliza maswali mengi. siamini kama misaada lazima iwe kutoa pesa. ninachojua mimi JD alifika pale alipokua sababu ya mumewe, haina maana kua mumewe alikaa tu akimtegemea huyo Dada. Gardner amejitahidi sana kua kimya muda wote ambao JD amekua akimtusi tatizo ni pale ambapo tusi lake moja limefunika yote ya JD. ninachowashauri hawa watu wawili hasa JD aache uswahili. Ukiachana na mpenzi / mume / mke unatakiwa kusamehe na kusahau. Unapomzungumzia kutwa kucha inaonyesha bado unampenda na unamuhitaji.
Akubali maisha yasonge mbele. Kumdhalilisha mumewe wa zamani haimsaidii chochote zaidi ya kumshushia hadhi yake. Alivyo sio mtu wa kufanya anayoyafanya. Tukumbuke kua Gardner aliongea kwa hasira za maneno ya muda mrefu toka kwa mke wake ukichanganya pombe ndio akamaliza kabisa ubishi. Hii biashara ya kusema ametukana wanawake wote ni kukuza tu ionekane kakosa sana lakini aliyetukanwa na JD na si wengine. Tujifunze kutokukuza mambo.
Halafu mbona nimeona huyo dokta Mwaka anaendelea tu na shughuli zake kama kawaida....
Si alifungiwa huyo.....au kifungo kiliisha?