Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliyataka mwenyewe ... akumbuke alichomfanya dada yetu wa Mwanza hadi ... inasikitisa sana ... alitorokea kwenye Miss Lake zone sasa yamemkutaUpo sawa, mkuu, dada kamzinguaa huyu jamaaa balaaa
hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
JAMANI TUKUBALIANE KATIKA HILI ....ndo hvyo ukiongea kdogo tuu you will lose your credibility
Wanaume wa Dar, chips yai , kibamia nkhivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?
mie nnayo lakini naona Aibu kukutumia japo sikujui..Video ya Gardner mwenye nayo naiomba anaitupie
Au hii video:
Yaani kila wakati tunachukulia mwanaume kuwa mwenye makosa automatically!
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Na ikitokea akatukanwa mwanamke mmoja, tumezoea kusema wametukanwa wanawake wote...that's nonsense! wanawake wengine wanafanya mambo ya hovyo kabisa ambayo sitaki hata siku moja kuyaunganisha na wanawake weengi sana ninaowaheshimu! Kuna hadi wanawake wanayonga watoto wao, nao ni wanawake lakini sidhani kama wanastahili kuwakilisha wanawake wote. Ikitokea mwanaume akaangushiwa 'jumba bovu' hilo ni lake peke yake, wala hatusemi kwamba wanaume wote wamedhalilishwa! Alaas! nilikuwa nimesahau, "kumbe mwanaume hawezi kudhalilishwa, especially na mwanamke..yeye in immune"Umemaliza yote mkuu.
Sina nyongeza.
jiwe lililorushwa gizani limeshampata mtu. we mwenyewe siumesikia mamaaaaaaaaaaJAMANI TUKUBALIANE KATIKA HILI ....
"UKIKUBALI KUWA MFUGO, UMEPOTEZA HAKI ZOTE - MWENYE MFUGO AKIAMUA KUCHINJA MDA WOWOTE ANACHINJA, MAJIRANI WATASIKIA KELELE TU"
What you just said make perfect sense!Unajua kuna watu wanadhani mwanamke kumdhalilisha na kumkashifu mwanaume ni sawa tu lakini mwanaume ku-react back; HAPANA, hiyo sio sawa! Utawasikia, huyo si demu bhana na wanawake wenyewe utakuta wanavimba vichwa kwa kudhani wao ndo wana hatimiliki ya kuwasemea mbovu wanaume!
Huyo huyo ukimfyatukia utamsikia "mwanaume mzima unabishana na wanawake...!" Shenzi taipu, kama ulijijua ni mwanamke ni kwanini basi usiwe na adabu ya kike ya kuwa na staha.
Jide kaanza kumtupia mipasho Gardner kitambo sana lakini jamaa akawa anajitahidi kuvumilia hadi pale aliposema enough is enough! Wale wale waliokuwa wanashangilia Gardner kukashifiwa ndio hao hao leo hii wanajifanya kulalamika... mlitaka aendelee kufanywa fa'la daily ili muendelee kushangilia!
Ingawaje simuungi mkono Gardner lakini vile vile simlaumu coz' he tried his best! Kila mwanadamu ana nyongo na ana kiwango chake cha mwisho cha uvumilivu!! Isitoshe, if you want to be respected you have to learn how to respect yourself!
What you just said make perfect sense!
Ni kama jamii imekubli wanawake kuwa level fulani ya chini dhidi ya wanaume
'Ukimpuuza' anakuwa mkali ile mbaya..maana yeye anatafuta mikasa, anataka maneno yake yatoke. Yaani ni kama wanakuwa na idadi fulani ya maneno ambayo lazima ayaongee kwa siku, tena kwa mood ya ukali. yasipotimia hatulii!There you are! Nilichelea kuifanya post yangu kuwa ndefu manake hili nalo nilitaka kuongelea!
Acha jamii bali wanawake wenyewe!! Yaani wanashindwa kufahamu kwamba mtu anaposema "utabishana vp na mwanamke...!" wenyewe wanaona fahari ya kuendeleza mdomo wao bila kufahamu kwamba amekuwa downgraded kiasi kwamba mwanaume akigombana na yeye ni kujidhalilisha huyo mwanaume! Mbaya zaidi ni pale mwanamke mwenyewe utakapomsikia "mwanaume mzima unagombana na mwanamke" akisahau kwamba hapo ni sawa na kusema "yeye ni mtu anayepaswa kupuuzwa!" Kama ambavyo huwezi kubishana na mtoto mdogo asiye na uelewa ndivyo nae unavyopaswa kumchukulia! Lakini tatizo linakuja pale hata utakapojaribu kujuzuia ku-argue nae hiyo inakuwa ndo kama unamtia petrol!
There you are! Nilichelea kuifanya post yangu kuwa ndefu manake hili nalo nilitaka kuongelea!
Acha jamii bali wanawake wenyewe!! Yaani wanashindwa kufahamu kwamba mtu anaposema "utabishana vp na mwanamke...!" wenyewe wanaona fahari ya kuendeleza mdomo wao bila kufahamu kwamba amekuwa downgraded kiasi cha kuoneshwa mwanaume akigombana naye ni kujidhalilisha huyo mwanaume! Mbaya zaidi ni pale mwanamke mwenyewe utakapomsikia "mwanaume mzima unagombana na mwanamke" akisahau kwamba hapo ni sawa na kusema "yeye ni mtu anayepaswa kupuuzwa!" Kama ambavyo huwezi kubishana na mtoto mdogo asiye na uelewa ndivyo nae anavyotaka umchukulie! Lakini tatizo linakuja pale hata utakapojaribu kujizuia ku-argue nae hiyo inakuwa ndo kama unamtia petrol!