Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Upo sawa, mkuu, dada kamzinguaa huyu jamaaa balaaa
aliyataka mwenyewe ... akumbuke alichomfanya dada yetu wa Mwanza hadi ... inasikitisa sana ... alitorokea kwenye Miss Lake zone sasa yamemkuta

isitoshe kasomeshwa na huyo huyo .. atumie cheti kuendelea na life sio kubwatuka maneno yasiyofaa mbele za watu ...
 
hivi Jide angesema jamaa awezi kumfikisha mngesemaje?

Wangeshangilia, wangemcheka Gadna hata kama asingetajwa, wangemdharau na kadhalika na kadhalika.

Huonagi wanavyoshangilia wakianzaga kutukanana huko instagram? Huwa wanatuonyesha hata utoko wao....kwa jinsi walivyo wapumbavu.

Gadna hajataja mtu lakini ona watu wanavyopovuka.
 
Acha hizo mkuu aka2030 , kuwa na kiasi kwenye kuhukumu wanawake. Mbona mnatusimanga hivyo wengine hatupo upande wowote, tuna issue zetu na kupambana/kukabiliana na haya maisha hapa duniani.
 
alifanya kosa kubwa sana toka mwanzo dada wa watu kuolewa na huyo simbilisi, ndoa ya kwanza ilimshinda na ya pili imemshinda,anajua kubadilisha wanawake ovyo tu hapa mjini.
 
ndo hvyo ukiongea kdogo tuu you will lose your credibility
JAMANI TUKUBALIANE KATIKA HILI ....
"UKIKUBALI KUWA MFUGO, UMEPOTEZA HAKI ZOTE - MWENYE MFUGO AKIAMUA KUCHINJA MDA WOWOTE ANACHINJA, MAJIRANI WATASIKIA KELELE TU"
 
Au hii video:
Yaani kila wakati tunachukulia mwanaume kuwa mwenye makosa automatically!
Unajua kuna watu wanadhani mwanamke kumdhalilisha na kumkashifu mwanaume ni sawa tu lakini mwanaume ku-react back; HAPANA, hiyo sio sawa! Utawasikia, huyo si demu bhana na wanawake wenyewe utakuta wanavimba vichwa kwa kudhani wao ndo wana hatimiliki ya kuwasemea mbovu wanaume!

Huyo huyo ukimfyatukia utamsikia "mwanaume mzima unabishana na wanawake...!" Shenzi taipu, kama ulijijua ni mwanamke ni kwanini basi usiwe na adabu ya kike ya kuwa na staha.


Jide kaanza kumtupia mipasho Gardner kitambo sana lakini jamaa akawa anajitahidi kuvumilia hadi pale aliposema enough is enough! Wale wale waliokuwa wanashangilia Gardner kukashifiwa ndio hao hao leo hii wanajifanya kulalamika... mlitaka aendelee kufanywa fa'la daily ili muendelee kushangilia!

Ingawaje simuungi mkono Gardner lakini vile vile simlaumu coz' he tried his best! Kila mwanadamu ana nyongo na ana kiwango chake cha mwisho cha uvumilivu!! Isitoshe, if you want to be respected you have to learn how to respect yourself!
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima

You are very right brother, Jide kamuandamana sana jamaa.

Jide aliongoza round zote za mpambano, jamaa raundi ya 12 karusha upper cut moja mtu chali....raia hawaamini matokeo
 
Umemaliza yote mkuu.
Sina nyongeza.
Na ikitokea akatukanwa mwanamke mmoja, tumezoea kusema wametukanwa wanawake wote...that's nonsense! wanawake wengine wanafanya mambo ya hovyo kabisa ambayo sitaki hata siku moja kuyaunganisha na wanawake weengi sana ninaowaheshimu! Kuna hadi wanawake wanayonga watoto wao, nao ni wanawake lakini sidhani kama wanastahili kuwakilisha wanawake wote. Ikitokea mwanaume akaangushiwa 'jumba bovu' hilo ni lake peke yake, wala hatusemi kwamba wanaume wote wamedhalilishwa! Alaas! nilikuwa nimesahau, "kumbe mwanaume hawezi kudhalilishwa, especially na mwanamke..yeye in immune"
 
JAMANI TUKUBALIANE KATIKA HILI ....
"UKIKUBALI KUWA MFUGO, UMEPOTEZA HAKI ZOTE - MWENYE MFUGO AKIAMUA KUCHINJA MDA WOWOTE ANACHINJA, MAJIRANI WATASIKIA KELELE TU"
jiwe lililorushwa gizani limeshampata mtu. we mwenyewe siumesikia mamaaaaaaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
What you just said make perfect sense!
Ni kama jamii imekubli wanawake kuwa level fulani ya chini dhidi ya wanaume. Kwa hiyo hata pale ambapo contest ni 50-50, inherently itaonekana mwanaume anamwonea mwanamke. Wanawake inaonekana wana hatimiliki ya umbea, majungu, matusi, mipasho na ugomvi..yaani wao wakimfanyia mwenzao vitu hivi wnashangiliwa...ni haki yao!
 
Mimi ni ke, lakini nasema hivi nipo upande wa gadna maana siku zote akuanzae mmalize. Jide mara nyingi sana alikuwa anapenda kumuimba mwenzio. Hilo Moja tu watu mapovu yanawatoka
 
What you just said make perfect sense!
Ni kama jamii imekubli wanawake kuwa level fulani ya chini dhidi ya wanaume

There you are! Nilichelea kuifanya post yangu kuwa ndefu manake hili nalo nilitaka kuongelea!

Acha jamii bali wanawake wenyewe!! Yaani wanashindwa kufahamu kwamba mtu anaposema "utabishana vp na mwanamke...!" wenyewe wanaona fahari ya kuendeleza mdomo wao bila kufahamu kwamba amekuwa downgraded kiasi cha kuoneshwa mwanaume akigombana naye ni kujidhalilisha huyo mwanaume! Mbaya zaidi ni pale mwanamke mwenyewe utakapomsikia "mwanaume mzima unagombana na mwanamke" akisahau kwamba hapo ni sawa na kusema "yeye ni mtu anayepaswa kupuuzwa!" Kama ambavyo huwezi kubishana na mtoto mdogo asiye na uelewa ndivyo nae anavyotaka umchukulie! Lakini tatizo linakuja pale hata utakapojaribu kujizuia ku-argue nae hiyo inakuwa ndo kama unamtia petrol!
 
'Ukimpuuza' anakuwa mkali ile mbaya..maana yeye anatafuta mikasa, anataka maneno yake yatoke. Yaani ni kama wanakuwa na idadi fulani ya maneno ambayo lazima ayaongee kwa siku, tena kwa mood ya ukali. yasipotimia hatulii!
 

Wanawake ni watu walio inferior na wao wanalijua hilo.

Haipaswi kuwa hivyo lakini hivyo ndivyo ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…