Wanaomuunga mkono Lady Jay Dee

Team DVD mtajicarry!!!!
#NdiNdiNdi ndo habare ya mujini. Msisahau tarehe 20 #NaamkaTenaConcert

Kama nakuona vile Captain ushuzi ulivyokuwa unajitutumua pale kati ili usije kosa pocket money, una akili kweli!
Ze ndi ndi ndi tolly ndi,
(navyoroll, navyoflow, navyogrow)
Ndi ndi ndi......
 
simtetei Gardner wala Jaydee niko katikati. Tukumbuke jinsi ambavyo JD alianza kumtusi baada ya kuachana / kuachwa / kuacha, wanajua wao. maneno mengi sana alimdhalilisha Gardner as if hawakua wanandoa. Nilishangaa sana na nilijiuliza maswali mengi. siamini kama misaada lazima iwe kutoa pesa. ninachojua mimi JD alifika pale alipokua sababu ya mumewe, haina maana kua mumewe alikaa tu akimtegemea huyo Dada. Gardner amejitahidi sana kua kimya muda wote ambao JD amekua akimtusi tatizo ni pale ambapo tusi lake moja limefunika yote ya JD. ninachowashauri hawa watu wawili hasa JD aache uswahili. Ukiachana na mpenzi / mume / mke unatakiwa kusamehe na kusahau. Unapomzungumzia kutwa kucha inaonyesha bado unampenda na unamuhitaji.
Akubali maisha yasonge mbele. Kumdhalilisha mumewe wa zamani haimsaidii chochote zaidi ya kumshushia hadhi yake. Alivyo sio mtu wa kufanya anayoyafanya. Tukumbuke kua Gardner aliongea kwa hasira za maneno ya muda mrefu toka kwa mke wake ukichanganya pombe ndio akamaliza kabisa ubishi. Hii biashara ya kusema ametukana wanawake wote ni kukuza tu ionekane kakosa sana lakini aliyetukanwa na JD na si wengine. Tujifunze kutokukuza mambo.
 
ivi hukuzaliwa na mwanamke wewe? angekua Dada yako au mzazi wako ameambiwa hayo maneno aliyo yasema yule Mzulufu tena mbele ya jamii ugejisikiaje ukiwa kama binadamu anaejitambua?
kwani ukizaliwa na mwanamke ndio umeambiwa kuwa mwanamke anayo haki ya kumtukana mwanaume?
 

Then wanaomuunga Gandner ni wanaume chapombe na tegemezi kwa wanawake (AKA wapenda kulelewa). Kama una maadili sahihi huwezi kukubaliana na alichokifanya
 
Vuta pumzi mkuu, ni mtazamo tu na sio lazima tufanane.

Hayo ya security nk sijazungumzia, hoja kubwa hapa ni kudhalilishana kulikoanzishwa na Jide mwenyewe.

Jide alianza lini kumdhalilisha Gadner? Na kivipi?
 
Wanaume mmeumbwa mateso
 
Wakojozaji wa ukwee hawasemi kabisaa wanatajwa na hawajitaji kumjojoza nwanamke si ubishoo utachwmka
 
Then wanaomuunga Gandner ni wanaume chapombe na tegemezi kwa wanawake (AKA wapenda kulelewa). Kama una maadili sahihi huwezi kukubaliana na alichokifanya
naona hicho Kilio chako unataka kukilazimisha kiwe Kilio changu
 

Hao ndio wanaomuunga mkono, je Ni kinanani wanaomuunga mguu?
 
Lady jay dee siku zote alikuwa anamtusi jamaa,hadi anamtungia nyimbo,kapigwa tusi moja mnalalamika wanawake wote wamedhalilishwa,captain alipokuwa anatukanwa wanaume hawadhalilishwi?tusi moja kelele Tanzania nzima
Mkuu mimi naunga mkono. jaydee kayataka mwenyewe sasa analalamika nini? Alimsimanga sana mwenzie masimango mpaka kwenye nyimbo. Let her pay the price! Alimwaga mboga (ndindindi ) mwenzie kamwaga ugali ngoma draw! Na maisha yaendelee kila mtu kapata somo
 
Mwanamke akiwa na hela anataka awe Mme ndani ya Nyumba
Love is more than money
Naona jide anamtambia sana mwenzake ana vipesapesa
 
You are very right brother, Jide kamuandamana sana jamaa.

Jide aliongoza round zote za mpambano, jamaa raundi ya 12 karusha upper cut moja mtu chali....raia hawaamini matokeo
Mkuu ina maana Jide alikuwa akiongoza round zote 11 akaja kutandikwa round ya mwisho!?

Anyways....

"RAHA YA MWANAMKE KUMKOJOZA BANA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…