Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Wana utopolo sasa hvii wanaona gari lao limewaka hakuna malalamiko, oohh!! Kwanini Gamond kafukuzwa , ooh !! Mabeki hatuna.
Malamiko yataanza baada ya Mc Algers kuwatungua 2 mtungi. Mnaokoteza wachezaji halafu mtegemee matokeo chanya club bingwa!?.
Club bingwa ni mwendo wa kushenyetwa, gusa achia twende kwenu. Wa mwisho kutoka chini 😂 pwenti 1 FC.