Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo robo fainali wanayojisifu nayo simba mbona kaizer chiefs hafiki na ana hela kuliko simba? Mbona wydad msimu uliopita hakufika na ana hela kuliko simba? Mbona orlando hafiki na ana hela kuliko simba?Kwenye kuwekeza bado si kigezo mfano Chelsea amewekeza sana msimu
WA kwanza au WA pili wa wamarekani walibeba kombe gani UEFA,Africa Kuna pyramid ya Misrii wamejitahidi Kila namna kuwekeza wako na kombe CAF champions league...
Haya mashindano yanahitaji pia experience timu zetu hazivumilii wachezaji na hazina malengo mapana mfano simba malengo yao ni kufika nusu fainali ila wanavojinasibu wao ni wakimataifa kwa kufika robo huwa nawashangaa sana
Kabsa hawataki kukubali kama Simba ni giant AfricanHiyo robo fainali wanayojisifu nayo simba mbona kaizer chiefs hafiki na ana hela kuliko simba? Mbona wydad msimu uliopita hakufika na ana hela kuliko simba? Mbona orlando hafiki na ana hela kuliko simba?
Uefa na caf champions league ni vitu viwili tofauti ambavyo hata haviendani coz nature ya mpira wa ulaya ni tofauti na nature ya mpira wa afrika. kwahiyo usifananishe uefa na caf.
Pyramids hajawahi kuwekeza hela kumzidi al ahly,esperance,mamelodi n.k ndio maana hajawahi kusumbua afrika.
Anayocheza mama yakoKwenye hilo kombe la kina mama mama ako anacheza namba ngapi?
Na unaweza kuwekeza na kombe usipate...mamelodi hela zote zile kachukua mara moja tu!Ukitazama enyimba documentary utaelewa ugumu wa kuwin champions league matches hasa wewe ukiwa ni timu kutoka sub saharan africa
Enyimba mwaka 2004 waliwekeza hela nyingi kuliko timu zote africa. Hata , waarabu wenyewe kina al ahly hawakufikia hela walizowekeza enyimba . Ndio wakaenda win caf champions league bila longo longo
Yanga kuwekeza kwa kina chama na dube. Sio timu ya kusumbua watu african level za champions league
Hivi mama ako ndo yule aliyepigwa tobo na meziane wa usm alger?Anayocheza mama yako
Twende pamoja wydad ana makombe ya CAF ,ww Simba una nn?Wydad kafika fainali mara nyingi tu simba Yako Nusu imefika lini?...Wydad walikuwa na mtafaruko kipindi hiko ila watakaa sawa,Simba humfikii wydad hata robo...Simba ndio timu ghali East and Central Africa ila yupo shirikisho hujaona tatizo badoHiyo robo fainali wanayojisifu nayo simba mbona kaizer chiefs hafiki na ana hela kuliko simba? Mbona wydad msimu uliopita hakufika na ana hela kuliko simba? Mbona orlando hafiki na ana hela kuliko simba?
Uefa na caf champions league ni vitu viwili tofauti ambavyo hata haviendani coz nature ya mpira wa ulaya ni tofauti na nature ya mpira wa afrika. kwahiyo usifananishe uefa na caf.
Pyramids hajawahi kuwekeza hela kumzidi al ahly,esperance,mamelodi n.k ndio maana hajawahi kusumbua afrika.
Usiwape pressure Uto kwanza wao ndo wanaongoza kundi kutokea matarcowniWana utopolo sasa hvii wanaona gari lao limewaka hakuna malalamiko, oohh!! Kwanini Gamond kafukuzwa , ooh !! Mabeki hatuna.
Malamiko yataanza baada ya Mc Algers kuwatungua 2 mtungi. Mnaokoteza wachezaji halafu mtegemee matokeo chanya club bingwa!?.
Club bingwa ni mwendo wa kushenyetwa, gusa achia twende kwenu. Wa mwisho kutoka chini 😂 pwenti 1 FC.
Meziane anacheza kombe la kina mama?Hivi mama ako ndo yule aliyepigwa tobo na meziane wa usm alger?
Ukweli ni kwamba mnai miss champions league basi tu hamna uwezo wa kushirikiUsiwape pressure Uto kwanza wao ndo wanaongoza kundi kutokea matarcowni