Wanaona wamejipata ila baada ya mechi na MC Algers, Side huenda tusiwe nae

Hiyo robo fainali wanayojisifu nayo simba mbona kaizer chiefs hafiki na ana hela kuliko simba? Mbona wydad msimu uliopita hakufika na ana hela kuliko simba? Mbona orlando hafiki na ana hela kuliko simba?

Uefa na caf champions league ni vitu viwili tofauti ambavyo hata haviendani coz nature ya mpira wa ulaya ni tofauti na nature ya mpira wa afrika. kwahiyo usifananishe uefa na caf.

Pyramids hajawahi kuwekeza hela kumzidi al ahly,esperance,mamelodi n.k ndio maana hajawahi kusumbua afrika.
 
Kabsa hawataki kukubali kama Simba ni giant African
 
Na unaweza kuwekeza na kombe usipate...mamelodi hela zote zile kachukua mara moja tu!
 
Twende pamoja wydad ana makombe ya CAF ,ww Simba una nn?Wydad kafika fainali mara nyingi tu simba Yako Nusu imefika lini?...Wydad walikuwa na mtafaruko kipindi hiko ila watakaa sawa,Simba humfikii wydad hata robo...Simba ndio timu ghali East and Central Africa ila yupo shirikisho hujaona tatizo bado
•Kaizer chief ana hela ndio ashawai fika fainali CAF champions league msimu 2020/21,Simba alikuwa daraja pia ...Je Simba hii mwakarobo lini kafika hata nusu fainali?
•Orlando pirates ana kombe moja la CAF ww Simba nn?...Orlando alifika fainali ya Caf Confederation 2021/22,Alifungwaa na berkane ya Ibenge kwa penalty,hio hio berkane ambayo pia mlicheza nae Simba 🤔

-Pyramid ni timu changa (inayokuwa tuseme)Maana mzigo wa maana wameanza kuweka 2018 baada ya matajiri kuinunua tangu wamepanda ligi 2014 ...Wamefika final 2019/20 CAF confederation,...Hela zipo sema ngoja niishie hapa......Pyramid haijawai kusumbua ila watoto wa 2018 Hawa wanakuzidi hela mpaka WW Simba ila ukijilinganisha nao Si unaona ww unabokuwa Bora koz of experience ..Takwimu hizi hapa chini
 

Attachments

  • Screenshot_20241224-102807.png
    98.8 KB · Views: 2
Usiwape pressure Uto kwanza wao ndo wanaongoza kundi kutokea matarcowni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…