Wanaonyoa ndevu zote!

Wanaonyoa ndevu zote!

Ushakubali wewe tanua hilo tanuru watu tutie kuni moto ukolee.

Hatutakusemea kwa Makonda
Haya nimeshatanua njoo!
Balehe za kwanza ni shida!!
Shule mnafungua lini,maana naona mnaharibu hadhi ya JF?
 
Uislam umetaka muislam wa kiume aache ndevu!akifanya hivyo hiyo itakuwa ni ktk amali njema na Allah atamlipa ujira juu ya Ibada hiyo!wito waislam wa kiume tusinyoe ndevu ili tutekeleze ibada hii!

Usiseme tuu kwa kuyatoa mdomoni mwako huo ni uongo,,, tupe aya....
 
Hakuna kitu nnachochukia kama ndevu. Zinawasha kila siku. Na sipendezi nikiwa nazo.
 
Unaziachaa kwasababu utakuwa kababy face so unahofia ukizitoa hautakuwa natofauti na ................ So ukiacha inakuwa afadhali sema Kama mzur mzuri tuu hakuna namna
 
Uislam umetaka muislam wa kiume aache ndevu!akifanya hivyo hiyo itakuwa ni ktk amali njema na Allah atamlipa ujira juu ya Ibada hiyo!wito waislam wa kiume tusinyoe ndevu ili tutekeleze ibada hii!
Noted
 
Acheni kufananisha pambo la ndevu na vitu vya kijinga nyie.... Mtoto anamtambua baba kwa ndevu, na ndio maana mababa wasio na ndevu huwa watoto wana waita mma(mama), kwa sababu hawaoni tofauti
 
Midevu mpk unapaka na hina kabisaaa mtoto wa kiume!!
 
Back
Top Bottom