Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada za Walimu na watu wa Afya tuu , wengine ni Sekretarieti ya Ajira na kwenye taasisi husika.Nimesomea DIPLOMA ya utawala,je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
bado npo katika kutafta foroum za ajira.Kwani wametangaza
Jiendeleze kielimu kwanza maana sasahivi degree ni kama form 4 tuNimesomea DIPLOMA ya utawala,je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
Jaribu ajiraportal wanatoaga qjirabado npo katika kutafta foroum za ajira.
changamoto pesaJiendeleze kielimu kwanza maana sasahivi degree ni kama form 4 tu
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
nishajiungaJaribu ajiraportal wanatoaga qjira