Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Heshimu mtazamo wako, lakini kumbuka,si kila mtu anaona mambo kwa jicho lako. Thatβs your personal lens, not a universal fact. Watu wanaamini kwa misingi tofauti, usiwavalie watu fikra zako as if ni sare.Kwa akili zako unaona alifanya kazi ya maaana! Huo mua unaouona mtamu, kuna mwingine kwake ni mchungu. Kuna na mwingine haujui. Vinginevyo tungeuliza aliekupa mkongoto wengine wakapewa mashimo; au aliekupa akili finyu, wengine wakajaziwa. Nilichouliza mimi, nani ana haki ya kumdhihaki mwenzie kisa imani! We kama unaamini, ni juu yako, una sababu zako, na wasioamini, wana sababu zao.
Siyo sahihi kusema mtu ana monopoly of truth kwa sababu anaamini Mungu wake ni wa kweli. Belief in truth is not the same as claiming exclusive ownership of it. Watu wengi wana imani tofauti, na hiyo haimaanishi wote wanadai kuwa wao pekee ndio wako sahihi.Wanajiona wana monopoly of truth.
Ukiamini Mungu wako ni wa kweli ni lazima uamini uko kwenye upande wenye monopoly hii.
Ukishaamini Mungu wako ndiye wa kweli, lazima utaona wale wote wasioamini Mungu wako hawaujui ukweli.Siyo sahihi kusema mtu ana monopoly of truth kwa sababu anaamini Mungu wake ni wa kweli. Belief in truth is not the same as claiming exclusive ownership of it. Watu wengi wana imani tofauti, na hiyo haimaanishi wote wanadai kuwa wao pekee ndio wako sahihi.
Kama kila mtu ana uhuru wa kuamini anachokiona kuwa kweli, basi hakuna mwenye monopoly , kuna tofauti za kiimani. Truth, by nature, invites sincere search, not arrogant possession.
Mkuu, hii imetokana na majibu yake, wala swali nililouliza halihusiani na haya. Mi nimeuliza kwa nini wanaoamini, wanawaona wasioamini kama vituko. Majibu aliyonipa, ndo yaliyopelekea huko kote. Wala si kwamba namforce mtu aamini navyoamini mimi.Heshimu mtazamo wako, lakini kumbuka,si kila mtu anaona mambo kwa jicho lako. Thatβs your personal lens, not a universal fact. Watu wanaamini kwa misingi tofauti, usiwavalie watu fikra zako as if ni sare.
Hoja yako inaonekana kama black or white thinking, si lazima imani yangu iwe ya kutengwa na imani za wengine. Inawezekana Mungu ana njia nyingi za kuwapata watu, na imani tofauti zinaweza kuwa njia tofauti za kuuelekea ukweli mmoja. Hii si shaka bali ni mtazamo mpana zaidi wa ukweli, ambao haupimwi kwa kufunga akili kwenye sentensi moja tu.Ukishaamini Mungu wako ndiye wa kweli, lazima utaona wale wote wasioamini Mungu wako hawaujui ukweli.
Na ukiamini kuwa wasioamini Mungu wako wanaamini kweli, basi imani yako kwa Mungu wako si ya kweli, una shaka.
This is a mutually exclusive proposition.
Huwezi kuamini Yesu ndiye njia pekee ya kwenda mbinguni kwenye uzima wa milele halafu hapo hapo ukaamini kuwa hata Buddha naye anaweza kukufikisha mbinguni kwenye uzima wa milele.
That is a contradiction.
Huelewi wapi?
Ndo hapo sasa. Je, kwa ninin mimi nisieamini, nisiwaone nyie mnaoamini mmepotea njia? Hili swali lina mabishano hakika. Swali lilikuwa kwa nini sasa, muwaone wamepotea njia, na wao wakiwaona nyie, wanaona ni kawaida, hawajishughulishi na kuwaconvice musiamini? Af wanaoamini, wanataka waonekane wao ndo wako sahihiUabudu ng'ombe au jua tusikushangae? Lazima tukushangae kukuona umepotea njia.
Mkuu kumwona asiyeamini kama kichekesho si tabia ya waumini wa kweli, bali ni udhaifu wa binadamu kujiinua kwa kuwadharau wengine.Mkuu, hii imetokana na majibu yake, wala swali nililouliza halihusiani na haya. Mi nimeuliza kwa nini wanaoamini, wanawaona wasioamini kama vituko. Majibu aliyonipa, ndo yaliyopelekea huko kote. Wala si kwamba namforce mtu aamini navyoamini mimi.
Ukishaqmini imani tofauti zinaweza kuwa za ukweli ndiyo by definition umeweka shaka kwenye imani yako.Hoja yako inaonekana kama black or white thinking, si lazima imani yangu iwe ya kutengwa na imani za wengine. Inawezekana Mungu ana njia nyingi za kuwapata watu, na imani tofauti zinaweza kuwa njia tofauti za kuuelekea ukweli mmoja. Hii si shaka bali ni mtazamo mpana zaidi wa ukweli, ambao haupimwi kwa kufunga akili kwenye sentensi moja tu.
Faith in one truth doesn't mean denying all others , ukweli unaweza kuwa na nyenzo tofauti, si lazima ziwe contradictory.
Watu wengi hushindwa kutofautisha kazi na iman na hii ni shida kubwa sanaKuna rafiki yangu mpendwa,jana alinipigia simu anahitaji kijana kuna ofisi anahitaji kufungua,hakika hiyo sio ofisi yake ya kwanza ni almost kama ya 5 kwa biashara tofauti
Aliniambia anahitaji kijana,lakini sharti la kwanza ni kuwa muislam
Hakika nilimjibu mbona unaleta udini ndugu???
Alijibu kwakweli siwezi pangua hilo,nilimuacha aende zake maana nilitambua ata mimi ni vile anapenda mawazo yangu na michango yangu kwenye maswala tofauti lakini si rafiki kama ninavyomchukulia hakika, na anajua kuhusu mimi na maswala ya imani
Hakika yule sio rafiki tena bali mimi ndiye nilidhani ni rafiki,ni mengi kanisaidia lakini nahisi nilikuwa nikidanganya akili yangu
Kukubali kuwa imani tofauti zinaweza kuwa na chembe chembe za ukweli si sawa na kuwa na shaka kwenye imani yako, bali ni kuwa na unyenyekevu wa kiakili (intellectual humility).Ukishaqmini imani tofauti zinaweza kuwa za ukweli ndiyo by definition umeweka shaka kwenye imani yako.
Kwamba wewe huna monopoly ya ukweli, na wale wanaweza kuwa na ukweli.
Huelewi wapi?
Mtu anayeamini kabisa 100% kuwa Mungu wake ndiye wa kweli hatakiwi kuwa na intellectual humility.Kukubali kuwa imani tofauti zinaweza kuwa na chembe chembe za ukweli si sawa na kuwa na shaka kwenye imani yako, bali ni kuwa na unyenyekevu wa kiakili (intellectual humility).
Kushikilia imani yako kwa dhati huku ukitambua kuwa wengine pia wanaweza kuwa na nuru fulani si udhaifu wa imani, ni hekima ya kutambua mipaka ya uelewa wa binadamu mbele ya mambo ya kiroho yasiyopimika.
Ukweli hauhitaji kuwa wa mtu mmoja pekee ili uwe wa kweli.
Huelewi wapi mkuu?
Si kweli kwamba intellectual humility ni sawa na shaka katika imani. Mtu anaweza kuwa na imani thabiti 100% kuwa Mungu wake ndiye wa kweli, at the same time akawa na intellectual humility, yaani, utayari wa kusikiliza wengine kwa heshima, si kwa sababu anashuku, bali kwa sababu anatambua kuwa binadamu wote tuna mipaka ya maarifa.Mtu anayeamini kabisa 100% kuwa Mungu wake ndiye wa kweli hatakiwi kuwa na intellectual humility.
Intellectual humility ni shaka, ni kukubali kuwa inawezekana umekosea. Hiyo si imani 100% kwamba Mungu wako ndiye wa ukweli.
Sasa mtu anayeamini Mungu wake ni wa kweli 100% na anamuongoza atamsikiliza vipi binadamu tu kwa kuwa binadamu tuna mipaka ya maarifa?Si kweli kwamba intellectual humility ni sawa na shaka katika imani. Mtu anaweza kuwa na imani thabiti 100% kuwa Mungu wake ndiye wa kweli, at the same time akawa na intellectual humility, yaani, utayari wa kusikiliza wengine kwa heshima, si kwa sababu anashuku, bali kwa sababu anatambua kuwa binadamu wote tuna mipaka ya maarifa.
Kuwa mnyenyekevu kiakili (intellectually humble) si kusema nimekosea, bali kusema najua niaminicho, lakini sihitaji kudharau walio na mtazamo tofauti ili kuimarisha imani yangu. Imani ya kweli haipaswi kuwa na hofu ya maswali, bali inajiamini hata mbele ya hoja pinzani.
Jibu lako ni sahihi kwa swali langu. maua yako pokea.Mkuu kumwona asiyeamini kama kichekesho si tabia ya waumini wa kweli, bali ni udhaifu wa binadamu kujiinua kwa kuwadharau wengine.
Waumini wa kweli hawako hivyo.
Uchizi kabisa π πHakika kwa sasa najitahidi kudanganya watu kwa mfano nilikuwa tabora,watu wakawa makundi kwa maelfu wakiniuliza dini yangu
Nikasema sina dini,nilionekana kana kwamba kituko,jamii kwa mbali ikaanzs kunikataa na mambo yangu yakaanza kugoma
Ikabidi nijifanye nimesilimishwa,hakika jamii walifurahi sana nikaendelea kuungwa mkono kwa kile nilikuwa nafanya kwa asilimia kubwa
Hakika dini ni ugonjwa
Even picha ninazo kama kumbukumbu ninazo,kwakweli sihamini katika haya yote ni upuuzi mtupuUchizi kabisa π π