Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

Nimeelewa
 
Yesu na Mungu wana tofauti gani tena? Si mnasemaga Yesu ndie Mungu!
 
 
Usiumie kwa maamuzi Yako
Nakumbuka walikwambia tunatoka kumwamini wa kweli unakwenda kwa wa uwongo ulikubali mwenyewe hivyo pambana na hapo hutoki tena
Shida zipo kote
 
Pole! Mwendawazimu akinyamaza anaonekana ana akili kuliko wewe!
 
Kwao imani ni kipimo cha uhakika yaani unaweza kumkuta muumini akijaribu kunywa maji ya kunawia mikono kwa kigezo cha imani lakini ni ngumu sana kumkuta mtu huyohuyo akinawa maji ya kunywa kwa kudai hilo ni kosa.


Mtu wa Imani anaamini jua linawaka kwasababu giza ni kosa wakati sisi tunaotumia fikra wazi tunaliona giza ni kama kivuli cha jua.
 
Dini ni utapeli that's why china na baadhi ya nchi za Asia Wana miungu Yao na wanamafanikio kuliko nchi ambazo zinazo muamini Yesu na Muhammad
Sorry Nimeishia kusomea hapa.

There are so many things wrong with this I don't even know where to begin with you! ! !

Neither do I intend to engage, honestly.

Kwa Kifupi: Jesus Walked on Earth, did great miracles, was killed, and Ressurected on the third day.

Do with that what you will.

Bye.
 
Unaruka ruka tu jibu hoja for fact

Kwanini Mungu mwenye nguvu aruhusu mabaya yaweze kuwafika watu wakati Ambao ni very decent wakati yeye yupo !?
 
Unaruka ruka tu jibu hoja for fact

Kwanini Mungu mwenye nguvu aruhusu mabaya yaweze kuwafika watu wakati Ambao ni very decent wakati yeye yupo !?
Siko hapa kujibu maswali yako! ! !

Endelea kutafuta majibu labda utapata! !

It was written: “Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga."
mat.7.6.BHN
 
Kuna Uzima wa Milele Kupitia Yesu Kristo wa Nazareth Aliye Hai,Yohana 14 Mstari 6
 
Sasa huyo rafiki yako naye kwani hajui imani yako mpaka akwambie wewe ndiye umtafutie mtumishi?
 
Endelea kutoamini uwepo wa mungu,kwani umezuiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…