OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Wakuu!
Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha kwake kujuana na kila mtu utadhani kazaliwa eneo husika,
interest zote zipo kwa watu, ni mcharuko, akiwa shule au chuoni yeye atataka awe kiongozi ki namna yeyote ile, atatengeneza urafiki na kila mtu darasani, au chuo kizima,
utakuta ni kiongozi wa CASFETA, ni CR, ni kiongozi wa chama cha vijana kwenye chama cha wanafunzi wa taaluma husika kote yupo n.k ni smart darasani kimtindo.
Ata organize events mbali mbali chuoni kama vile kutembelea watoto yatima, kushiriki mbio za akina majizo, kuhudhuria sherehe mbali mbali za kitaaluma, kuchangia damu n.k
Wao kujuana na mtu yeyote mkubwa au maarufu sio kesi ni sekunde tu
Mara nyingi hawa watu ni ma extrovert, wanafit zaidi ktk nafasi ya usemaji kwenye chama cha siasa au klabu ya mpira
Mfano Mh Nepi nauy, H. Slow slow, siji na manara, na yule mwingine wa jangwani hatutomsahau KAMWE.
Hawa ni wazuri kwenye uenezi, kueneza sera au propaganda za chama au klabu ya soka sababu wao kuconect na watu ni rahisi ni asili yao ni charismatic ndivyo walivyo zaliwa.
Ila ila ila tatizo ni moja!! Narudia tena tatizo ni moja hawanaga siri hawa.
Sio wasikilizaji wazuri, sio watu wakutafakari na kutenda wao ni wasemaji kiasili, priority number one ni kuongea, kudai haki au uhuru wa kutoa maoni ili waendelee kuongea zaidi
Ishu kama hizi za NIDA, Goli la mkono zinaanikwa na watu wa kaliba ile ile, wasemaji pro max
hata kule kwenye mpira yule bwana hanaga siri si mnamjua lakini? Katumia mbinu zake kaibukia jangwani baadar kwenye udiwani
Kumpa nchi mtu wa namna hii ni kuyatoa mafaili ya ikulu nje mchana kweupe na kuyaanika kila sehemu, bara barani, vijiwe vya kahawa, facebook, insta mpaka tik tok maana wao starehe yao ni kuongea
Kiongozi mzuri ni yule anayesikiliza zaidi kuliko kuongea zaidi, vitendo elfu moja neno moja mfano hayati Ben Mkapa.
Nahitimisha Tundu Lisu kuwa Raisi ni hatari kwa nchi, anafaa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali na sio kwenye hiyo nafasi kubwa sababu kiongozi mkuu mfano mwenyekiti au raisi kazi yake ya kwanza ni kuunganisha watu baada ya uchaguzi watu wa vyama vyote na kuwachukulia kuwa wamoja,
ni mkimya akishindwa hukaa muda mrefu bila kuongea, hutumia muda wake mwingi kutafakari na kujipanga
Tutafakari hoja