Wanaoonyesha mpira kwenye mabanda hawalipi kodi

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,955
Reaction score
5,616
Najua watz wengi tunapenda michezo mbalimbali na haswa huu mpira wa miguu.

Na hiii imeenda mbali zaidi kufikia hatua ya watz wenzetu kuiona hii ni kama fursa kwao ya kujiingizia kipato kulingana na demand ilivo kubwa, pongezi kwao kwa walioiona hii kama fursa na kuifanya kama biashara.

Niseme tu kuwa kila Mtanzania ana nafasi katika namna moja ama nyingine ya kulijenga Taifa ikiwemo hii ya kulipa KODI. Nikirejea hoja Yangu ya msingi ni kuwa wanao fanya biashara ya kuonesha mpira kwenye kumbi mbali mbali wanakwepa kulipa kodi, na hii ni biashara.

Kuna wengine mtakuja na point na kusema kuwa wanalipa kodi kwa njia ya vifurushi kwa wamiliki wa channels za michezo, ni kweli kule wanalipa kama sehemu ya service charge ila tukirudi ukumbini wakati wakuonesha hizo match mbona hawatoi list kwa Wateja wao wanaowatoza kingilio? TRA vp mbona mko kimya? Au hii sio biashara ?
 
Kama wana TIN number na leseni ya biashara wanapaswa kulipa kodi.

Kama hawana, inabidi wakasajili biashara zao kwanza.

Cc: mahondaw
 
Wakilipa kodi ndio utapanda hizo bombadier bure?
Waache nao wafaidi unajua kwa sasa serikali ina pesa za kutosha, uliona lini imeshindwa kugharamia huu uchaguzi wa kila siku?
 
Kama wana TIN number na leseni ya biashara wanapaswa kulipa kodi.

Kama hawana, inabidi wakasajili biashara zao kwanza.

Cc: mahondaw
Mkuu hapa Taxpayer identification number sina uhakika kama inahusishwa hapa
 
Chelsea mnatabu kweli yaani baada ya kufugwa ndio mnakumbuka kodi.!
 
Acha kutuchomesha we fala, hiyo kodi kama ingekuwa na maana msingekuwa mnakopa hovyo na kufilisi mifuko ya hifadhi ya jamii.
Massage Delivered, Lipa Kodi Mkuu kwa kutoa Rist kwa Wateja wako.
 
livafan,
Tena kwa uswahilini ndio kabisa..mabanda kila kona..kodi 0
 
Massage Delivered, Lipa Kodi Mkuu kwa kutoa Rist kwa Wateja wako.
Wewe wakilipa au wasipokulipa wanakufaidisha nini kuna aliyekufata nyumbani kwako kukuletea bugudha? Maji ya kunywa kodi, umeme kodi, kila kitu wanachonunua/tunachonunua kodi,unaona wenzako wanapata sana faida au? Kama unaona wanapata faida sana anzisha na wewe alafu ulipe hiyo kodi unayoitaka kulipa uone kama kuna mtu atakubugudhi
 
Mbona Bar Soda Ya 500 Inauzwa 1000 Na Hatupewi Risiti Hebu Acha Upuuzi Kijana
 
Kodi zenyewe za kuwanunulia madiwani an bombadia na kumnenepesha bashite makalio.
 
Hawa mademu nao walipe kodi
 
Duh!! Kila mahali unataka watu walipe kodi[emoji22][emoji22][emoji22].
 
Watanzania Tupunguzee ROHOO YA KWA NINI... Roho MBAYAA...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…