livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Najua watz wengi tunapenda michezo mbalimbali na haswa huu mpira wa miguu.
Na hiii imeenda mbali zaidi kufikia hatua ya watz wenzetu kuiona hii ni kama fursa kwao ya kujiingizia kipato kulingana na demand ilivo kubwa, pongezi kwao kwa walioiona hii kama fursa na kuifanya kama biashara.
Niseme tu kuwa kila Mtanzania ana nafasi katika namna moja ama nyingine ya kulijenga Taifa ikiwemo hii ya kulipa KODI. Nikirejea hoja Yangu ya msingi ni kuwa wanao fanya biashara ya kuonesha mpira kwenye kumbi mbali mbali wanakwepa kulipa kodi, na hii ni biashara.
Kuna wengine mtakuja na point na kusema kuwa wanalipa kodi kwa njia ya vifurushi kwa wamiliki wa channels za michezo, ni kweli kule wanalipa kama sehemu ya service charge ila tukirudi ukumbini wakati wakuonesha hizo match mbona hawatoi list kwa Wateja wao wanaowatoza kingilio? TRA vp mbona mko kimya? Au hii sio biashara ?