Wanaopanga kuandamana wana maslahi yao na wanaopinga kuandamana pia wana maslahi yao, usijichanganye!

Wanaopanga kuandamana wana maslahi yao na wanaopinga kuandamana pia wana maslahi yao, usijichanganye!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,lazima mlielewe hilo kila mtu ana maslahi yake kwenye maandamano ya Kiafrika achana na kifuata mikumbo kama huna maslahi basi tuliza makalio home kwako.

Asanteni!!
 
Unasema kila mtu ana maslahi yake halafu unawatuliza wengine wabaki nyumbani, watabaki nyumbani vipi wakati wana maslahi yao? Unajichanganya, nyoosha maelezo
 
Habarini,lazima mlielewe hilo kila mtu ana maslahi yake kwenye maandamano ya Kiafrika achana na kifuata mikumbo kama huna maslahi basi tuliza makalio home kwako.

Asanteni!!
Sasa unawaamulia cha kufanya? Kwani ww unajua maslahi ya wanaotaka kuandamana mpaka uwaambie wakae home?
 
Hadi hapo nishaelewa wew upo upande gan! Vp zile milion mia, umepata mgao kias gan mkuu?
 
Unasema kila mtu ana maslahi yake halafu unawatuliza wengine wabaki nyumbani, watabaki nyumbani vipi wakati wana maslahi yao? Unajichanganya, nyoosha maelezo

Mleta mada ni mnafiki anayejifanya ni mshauri kumbe ni genge la wauaji, ambaye lengo lake ni kuwataka watu wasipinge kwa maandamano vitendo vyao vya kuteka na kuua watu.
Wanaoandamana kupinga ushetani wa kuteka na kuua watu, uporaji na udhulumaji wa haki za watanganyika ni mashujaa wa Taifa. wenye uzalendo wa hali ya juu wanaopambana kulilinda taifa dhidi ya mashetani yanayoliharibu taifa letu kwa matendo machafu ya kishetani ya kuteka na kuua wananchi wanaokemea uovu.
 
Back
Top Bottom