Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

Sule Iman

New Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo timu, wakat kuna hadi ligi ilipofika tayari wamecheza zaidi ya mechi moja katika mda huo,

Mapendekezo tu, ligi itizamame namna ya kuweka usawa katika ratiba bila upendeleo wa timu ndo au timu kubwa, kama hamna hawawezi kuzipangia mda timu kubwa kucheza juani basi na hizi timu ndogo au timu za kati wasifanye ivyo, waige ligi za ulaya. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom