Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
WambieMtoto wa kiume unalilia pisi ya kishua sasa hivi utapopolewa.
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani
Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha
Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja
Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi
Achilia mbali ma sugar momies
Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu
Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
Ana hela ya kupanga hyo mitaa , alaf hajui tuu wa kishua wana gharama pia , yan nafs ya mwanamke ina ubinafsi flani hata kama yupo vizuri kimaslahi bado atahtaji sent yako ,na akihtaji ujue sent kweliNenda kapange mitaa yao. Ili uishi nao.
Muwe mnaonana kama majirani, mtongozane. Hapo utapata demu wa kishua
Ununio ndio wap huko?Njoo huku ununio sasa pisi za kishua zinakugombani ila uwe mtunza bustani au muosha gari la Boss
Daah JF haikosagi nyundo hakuna kupita free hujapigwa ya kichwaMtoto wa kiume unalilia pisi ya kishua sasa hivi utapopolewa.
Wewe upo mkoa gan hujui ununio chiefUnunio ndio wap huko?
Muambie kabisa...watu wanafanya kazi hatar na hawapati best connectionsThere's something work out kufanya Kazi kwa bidii sio jibu la Kupata connection WTF
KunduchiUnunio ndio wap huko?
Naomba picha mpenzi nikuone nataka kuja kukusalimia pleaseNjoo huku ununio sasa pisi za kishua zinakugombani ila uwe mtunza bustani au muosha gari la Boss
Cc wakufugwa ndio tumeanza funguliwa kiongoziWewe upo mkoa gan hujui ununio chief
Mdogo angu achana na hayo mawazo...Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani
Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha
Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja
Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi
Achilia mbali ma sugar momies
Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu
Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
Daah JF haikosagi nyundo hakuna kupita free hujapigwa ya kichwa
Darlin[emoji23][emoji23][emoji23]spana za maana
Izo hela nazipataje bila ya connection?Mdogo angu achana na hayo mawazo...
Elekeza nguvu katika kutafuta ELA tafuta ELA....
Wanawake watakuja wenyewe sawa....
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Wasalaam
Kwa Sasa+267
Darlin
Atakua anatokea mkoa wa kipolisi mbagalaDaah JF haikosagi nyundo hakuna kupita free hujapigwa ya kichwa
Unaonekana wakishua mamyy nimekuja dm lakin no permision[emoji26]Naomba picha mpenzi nikuone nataka kuja kukusalimia please
Uko poa mkuu!?Mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]Sasa wewe unaishi namanyere au buzakwampalange kazi unafanya sterio halafu unataka demu wa masaki au kupanga!?