Wanaopata wanawake wakishua wanafanyeje?

Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani

Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha

Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja

Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi

Achilia mbali ma sugar momies

Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu

Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life

Sasa wewe unaishi namanyere au buzakwampalange kazi unafanya sterio halafu unataka demu wa masaki au upanga!?
 
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani

Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha

Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja

Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi

Achilia mbali ma sugar momies

Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu

Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
Mdogo angu achana na hayo mawazo...
Elekeza nguvu katika kutafuta ELA tafuta ELA....

Wanawake watakuja wenyewe sawa....
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wasalaam
Kwa Sasa+267
 
Back
Top Bottom