hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Wewe ni wa kishua au mwenzangu na mie madongo kuinama??Kwa taarifa yako mim ni super HB hao akina mwajuma ndala ndefu wanazimika sna sema nataka wa kishua
Hilo ndio tatizo lenyewe. Watoto wa kishua wanapenda wenye sura ngumu kama harmo rapaKwa taarifa yako mim ni super HB hao akina mwajuma ndala ndefu wanazimika sna sema nataka wa kishua
💯Hivo vitu ni automatically vinakuja..
Ukivitafuta hutavipata
Hahaha madongo kuinama dada
Wakishua wako ivi ili uwendane nao na wakukubali👉👉👉Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani
Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha
Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja
Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi
Achilia mbali ma sugar momies
Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu
Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
Mmmh tunafunga Juke zetu vioo na tinted zetu atatutongozaje sasa😁😁😁😁Nenda kapange mitaa yao. Ili uishi nao.
Muwe mnaonana kama majirani, mtongozane. Hapo utapata demu wa kishua
Mmmh tunafunga Juke zetu vioo na tinted zetu atatutongozaje sasa😁😁😁😁
Eeh labda aje gym,na asije na bodaboda tafadhali.....ajitajihidi apaki hata Subaru yake pembeni yetu hapo tutajua tunaongea lugha moja,halafu ajue na lugha ya malkia!Wakishua mnakutana gym ya mtaani kwenu. Ama jioni kwenye evening run ama evening walk
Pia kuna jumuia za kanisa jirani.
Masaki o bey majirani wanajuana japo sio ile kiundani sana kama uswazi kuchunguzana