Wanaopata wanawake wakishua wanafanyeje?

doomedcity

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
65
Reaction score
144
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani

Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha

Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja

Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi

Achilia mbali ma sugar momies

Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu

Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
 
Unaingia kwenye mtandao gani au app gani?
 
Kuwa na circle ya watu wenye pesa mara nyingi masikini kuwa na urafiki na tajiri inakuaga Kuna ugumu flanii hivi

Mimi naona mnyonyoro ndo kila kitu pia ukitaka urafiki udumu na watu wenye pesa usipende kuomba pesa omba Connection tu .
 
Hakikisha na ww ni wa kishua. Bang na size yako boss
 
Kuwa na circle ya watu wenye pesa mara nyingi masikini kuwa na urafiki na tajiri inakuaga Kuna ugumu flanii hivi

Mimi naona mnyonyoro ndo kila kitu pia ukitaka urafiki udumu na watu wenye pesa usipende kuomba pesa omba Connection tu .
Wazo jema Sana, na akishaanza kugonga mmoja basi atakuwa katoa nuksi watamwagika wakutosha
 
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani

Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo litanipa amani na kunipunguzia stress za maisha

Ila wapi mpaka leo sijawai ambulia hata mmoja

Tuseme ndo gundu au bahati zetu wengine nyeusi

Achilia mbali ma sugar momies

Sio kijibrand ndo ukweli mtu na u hb na ushombe ulionao huambulii hata rafiki tu

Emu tupeni connection wadau tunapataje hawa watu ili tujifariji na hizi stress za life
labda usome nao na uwe na mazoea nao, ila huwa hawatutaki sisi makapuku
 
There's something work out kufanya Kazi kwa bidii sio jibu la Kupata connection WTF
Lengo la mtoa mada ni kupata mademu wazuri wakishua na sio network!
Na wewe umefocus on mademu wa kizungu na mademu wa kishua huo ni ufoolish

Focus on your ability.
Creativity.
Hardworking
Connections na mengne vitakufata wewe.
 
Back
Top Bottom