Wanaopata wanawake wakishua wanafanyeje?

Wanaopata wanawake wakishua wanafanyeje?

Kuwa na circle ya watu wenye pesa mara nyingi masikini kuwa na urafiki na tajiri inakuaga Kuna ugumu flanii hivi

Mimi naona mnyonyoro ndo kila kitu pia ukitaka urafiki udumu na watu wenye pesa usipende kuomba pesa omba Connection tu .
Umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom