Wanaopenda Chama sindikizi jiungeni na ACT Wazalendo tuacheni wapenda mabadiliko. Huwezi kupata madiliko ya kimfumo wakati wewe mwenyewe unategemea mfumo huohuo kukulipa. Huwezi kupata mabadiliko kama huwezi kwenda jela na kuwa mwoga mwoga. Huwezi kupata madiliko kwa kuomba wakandamizaji wako.
Huwezo kupata mabadiliko wakati unapenda kula bata kama wale viongozi wanaokaa kama masultani wa chama pinzani kule zanzibar. Kama una viongozi wanajali magani na vyeo kuliko mabadiliko ya wananchi huwezi kupata mabadiliko.
Wakani wengine wanaweka mashikizo kwenye mabadiliko ACT Wazalendo wanajifanya kama sheria ni rafiki na kuna chaguzi huru. Unaweka wagombea sehemu ambayo unajua unaibiwa tena kisheria. Unaenda kwenye chaguzi kwa kujua kabisa wapigakura namba zao ni fake.
Yaani unategema huruma badala ya kupigania mabadiliko. Inawezekana kabisa njia ya Chadema ni ndefu lakini kwa Watanzania wengi ni sahihi. ACT Wazalendo huko mbele itakuja kujulikana walikuwa wasaliti wakubwa