Wanaopenda haki siyo rafiki wa maovu

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555

Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo.

Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo rafiki wa maovu.

Vinginevyo kwa haya tunayoendelea kusoma anayomwaga huko mahakamani eeh bana NO!, huyu jamaa Mungu amlinde.
 

binti kiziwi anajua na huyu kwenye sanduku la kura hatoboi. Ipo option moja tu hapa kumkomalia vilivyo na pa kuanzia NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…