abelexpeditor
Member
- Jan 27, 2017
- 67
- 30
Sawa kaka ila umeshawahi kulima kwa njia yeyote Ile??Mi mmojawapo kujiunga katika kikundi
Nakuuliza chochoteMimi nimewai kukifanya hiki kilimo kwa zao la nyanya niulizeni chochote kasoro bei ya hizo drip sababu bei yake ndo siijui
Uliza tuu kuhusu hiki kilimo wala usiwe na hofuNakuuliza chochote
Cjawahi mkuuSawa kaka ila umeshawahi kulima kwa njia yeyote Ile??
Na vp kuhusu kilimo cha vitunguuMimi nimewai kukifanya hiki kilimo kwa zao la nyanya niulizeni chochote kasoro bei ya hizo drip sababu bei yake ndo siijui
Natafuta mtaalamu wa kilimo bustan namna ya kupata mazao mengi ktk ardhi 49 sq meter dsmHabari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa tusivyo vijua, unataka tujiunge ili kufanya iyo kazi au ukitaka kikundi kilicho tayari ujiunge Karibuni Sana.
Natafuta mtaalamu wa kilimo bustan namna ya kupata mazao mengi ktk ardhi 49 sq meter dsm
Kwa square metre moja ulitumia maji kiasi gani tokea uoteshe nyanya hadi uanze uvunajiMimi nimewai kukifanya hiki kilimo kwa zao la nyanya niulizeni chochote kasoro bei ya hizo drip sababu bei yake ndo siijui